MWENYEKITI wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema), Freeman Mbowe, na viongozi wenzake Godbless Lema na Boniface Jacob, wameachiwa k...
Divine Radio Live
ZITTO AKAMATWA NA POLISI DAR ES SALAAM
POLISI Kanda Maalum ya Dar es Salaam imemkamata Kiongozi Mkuu wa Chama cha ACT – Wazalendo, Zitto Kabwe, akiwa Kituo cha Polisi Oster Ba...
DKT. TULIA ACHUKUA FOMU KUWANIA UNAIBU SPIKA
Mbunge mteule wa Mbeya Mjini (CCM), Dkt. Tulia Ackson amesema hajachukua fomu ya kuwania uspika wa Bunge la 12 ili apate nafasi ya kuwatumia...
NDUGAI ACHUKUA FOMU KUGOMBEA USPIKA
Spika wa Bunge aliyemaliza muda wake, Job Ndugai amechukua fomu kwa ajili ya kutetea nafasi hiyo kwa kipindi cha pili. Ndugai ambaye ameku...
MWANA FA: NAACHA MUZIKI, PROF JAY, SUGU HAMIENI CCM
NYOTA wa muziki wa Hip Hop nchini, Hamis Mwinjuma ‘Mwana FA’, amesema baada ya kupata nafasi ya ubunge wa Jimbo la Muheza juhudi zake anazi...
MARADONA KUFANYIWA UPASUAJI WA UBONGO
Legend wa Argentina Diego Maradona yupo hospitali na anatarajiwa kufanyiwa upasuaji wa ubongo baada ya kubainika kuwa ana tatizo katika ubon...
MWINYI ATEUA MWANASHERIA MKUU ZANZIBAR
November 03, 2020 Rais wa Serikali ya Mapinduzi ya Zanzibar Dkt. Hussein Ali Mwinyi amemteua Dkt. Mwinyi Talib Haji kuwa Mwanasheria Mkuu w...