Rais wa Tanzania, Mhe. Dkt. John Pombe Magufuli amewashukuru Waumini wa Kanisa Katoliki Parokia ya Bikira Maria Imakulata, Chamwino Mkoani D...
KLOPP NA GUARDIOLA WAHOFIANA
KOCHA wa Liverpool, Jurgen Klopp amesisitiza kuwa leo atakuwa na kazi ngumu kwani kucheza na Manchester City huwa kuna ugumu kati yao. Leo J...
MFAHAMU KAMALA HARRIS MWANAMKE MWEUSI ATAKAYEKUWA MAKAMU WA RAIS WA JOE BIDEN
Bi Harris mwenye umri wa miaka 55, aliondoka kwenye kinyang'anyiro cha kuwania urais mwezi Disemba baada ya kutofanikiwa kushinda katika...
KIMBUNGA ETA: 15 WAFARIKI NA WENGINE 100 HAWAJULIKANI WALIPO GUATEMALA
Wafanyakazi wa huduma ya uokozi nchini Guatemala wanaendelea kufukua matope na vifusi kwa lengo la kuwatafuta watu wanaokadiriwa kufikia 100...
KOCHA WA YANGA AFUNGUKA BAADA YA MECHI DHIDI YA SIMBA
Kocha Mkuu wa Yanga, Cedric Kaze amesema kuwa wachezaji wake jana Novemba 07 walionyesha bidii kwenye kusaka matokeo kipindi cha kwanza ila ...
SERIKALI YATUMIA SH. MILIONI 900 KUKARABATI MABWAWA MAWILI YA KUNYWESHEA MIFUGO
Katibu Mkuu, Wizara ya Mifugo na Uvuvi (Mifugo), Prof. Elisante Ole Gabriel amesema kuwa serikali inatumia zaidi ya shilingi Milioni 900 kwa...
RAIS DK.HUSSEIN MWINYI AFANYA UTEUZI MWINGINE
RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi, Dk. Hussein Ali Mwinyi amefanya uteuzi leo tarehe 08 Novemba 2020. Kwa mujibu wa taa...
BUNGE LA 12 KUANZA NOVEMBA 10
Kikao cha kwanza cha mkutano wa kwanza wa Bunge la 12 kinatarajiwa kuanza Novemba 10 mwaka huu kama ilivyotamkwa kwenye tangazo la Rais amba...
KAULI NA AHADI KUBWA YA JOE BIDEN KWA WAMAREKANI
Baada ya jana Novemba 07, 2020, mgombea urais wa Chama Cha Democratic, Joe Biden, kutangazwa mshindi wa kiti cha urais wa Taifa la Marekani,...
CHADEMA YATOA KAULI UTEUZI WA WABUNGE VITI MAALUM
Katibu Mkuu wa Chama Cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) John Mnyika, amesema chama hicho hakijafanya uteuzi wa wabunge wa Viti Maalum. Mn...
JOE BIDEN ASHINDA URAIS WA MAREKANI, TRUMP CHALI
MGOMBEA Urais wa Marekani kupitia Chama Cha Democratic , Joe Biden ameshinda uchaguzi wa Marekani na kuwa rais mteule wa Marekani ...
ANGUKO LA TRUMP KICHEKO AFRIKA
UCHAGUZI Mkuu wa Marekani ndio habari ya mjini. Katika matokeo ya awali ya uchaguzi huo uliofanyika Novemba 3, mwaka huu yameanza kuibua kic...
PROFES JAY HATAKI KUONGELEA SIASA
S IKU chache baada ya matokeo ya Uchaguzi Mkuu uliofanyika Oktoba 28, mwaka huu kutangazwa, wabunge wengi wameonekana kukosa nafasi kwa mara...
MTUMISHI WA HOSPITALI MBARONI KWA WIZI VIFAA TIBA
Jeshi la Polisi linamshikilia Mtuhumiwa,Mtumishi wa Idara ya Chumba cha Upasuaji katika hospitali ya Rufaa ya mkoa wa Shinyanga . Madaraka ...
TANZIA: BALOZI PATRICK CHOKALA AFARIKI DUNIA
Balozi Patrick Segeja Chokala amefariki dunia Novemba 6, 2020 katika hospitali ya Muhimbili alikokuwa amelazwa akisumbuliwa na ugonjwa wa sh...
AMUUA MKEWE KISA FEDHA ZA MAUZO MBUZI
Jeshi la Polisi Mkoani Shinyanga linamshikilia Boshu Kulwa (60) kwa tuhuma za kumuua mke wake, Magdalena Lunguya (45) baada ya kumhoji kuhus...