} });
 
STENDI MPYA MBEZI KUANZA KUTUMIKA NOV 30
STENDI MPYA MBEZI KUANZA KUTUMIKA NOV 30

MKUU wa Mkoa wa Dar es Salaam, Aboubakar Kunenge ,   amesema ujenzi wa stendi mpya ya mabasi ya mikoani ya na nchi za nje ya  Mbezi-Luis  ji...

Read more » Soma zaidi »

NYALANDU AZUIWA MPAKANI AKIELEKEA KENYA
NYALANDU AZUIWA MPAKANI AKIELEKEA KENYA

Aliyekuwa Mgombea Ubunge wa Jimbo la Singida Kaskazini, Lazaro Nyalandu amezuiwa kutoka Tanzania kupitia mpaka wa Namanga. Kwa mujibu wa Mku...

Read more » Soma zaidi »

POLISI YAELEZEA SUALA LA LEMA KUTISHIWA MAISHA
POLISI YAELEZEA SUALA LA LEMA KUTISHIWA MAISHA

Kamanda wa Polisi mkoa wa Arusha Salum Hamduni, amesema kuwa aliyewahi kuwa mbunge wa jimbo la Arusha Mjini kupitia CHADEMA, Godbless Lema, ...

Read more » Soma zaidi »

RADI IMEUA WATU WAWILI KIGOMA
RADI IMEUA WATU WAWILI KIGOMA

Watu wawili wamefariki duniani baada ya kupigwa na radi iliyoambatana na mvua kubwa iliyonyesha siku ya jana katika Manispaa ya Kigoma Ujiji...

Read more » Soma zaidi »

DIWANI MTEULE NA WAJUKUU ZAKE WATEKETEA KWA MOTO
DIWANI MTEULE NA WAJUKUU ZAKE WATEKETEA KWA MOTO

Diwani mteule wa Kata ya Kikongo Wilaya ya Kibaha Vijijini mkoani Pwani Fatuma Ngozi na Wajukuu zake wawili wamefariki baada ya nyumba ya Di...

Read more » Soma zaidi »

RAIS WA WBF KUSHUHUDIA PAMBANO LA MWAKINYO DSM
RAIS WA WBF KUSHUHUDIA PAMBANO LA MWAKINYO DSM

Rais wa chama cha ngumi za kulipwa cha WBF Howard Goldberg atawasili nchini Jumatano kwa ajili ya usimamizi wa pambano ubingwa wa mabara sup...

Read more » Soma zaidi »

HUKUMU: RAIA WA IRAN WAFUNGWA MIAKA 30 GEREZANI KISA DAWA ZA KULEVYA
HUKUMU: RAIA WA IRAN WAFUNGWA MIAKA 30 GEREZANI KISA DAWA ZA KULEVYA

Raia wawili wa Iran  Nabibaksh Pribaksh Bidae  nahodha wa Jahazi na Injinia wake,  Muhamad Hanif   wamehukumiwa kutumikia kifungo cha miaka ...

Read more » Soma zaidi »

VIDEO: NAPATA VIMESEJI VYA WAKUU WA MIKOA, WILAYA WANA HOFU – JPM
VIDEO: NAPATA VIMESEJI VYA WAKUU WA MIKOA, WILAYA WANA HOFU – JPM

RAIS  John Magufuli amewaondoa hofu wakuu wa mikoa na wilaya ambao wamekuwa wakimpigia simu na kumwandikia meseji wakijieleza kuwa katika vi...

Read more » Soma zaidi »

BAYERN YAPATA PIGO, KIMMICH NJE HADI MWAKANI
BAYERN YAPATA PIGO, KIMMICH NJE HADI MWAKANI

Kiungo wa Bayern Munich, Joshua Kimmich atakaa nje ya uwanja hadi mwezi Januari baada ya kufanyiwa upasuaji wa goti aliloumia Jumamosi iliyo...

Read more » Soma zaidi »

ALICHOKISEMA MWINYI ZAHERA JUU YA SIMBA NA YANGA
ALICHOKISEMA MWINYI ZAHERA JUU YA SIMBA NA YANGA

Kocha wa zamani wa Yanga, Mwinyi Zahera ameponda mbinu za kujihami za kocha Cedric Kaze ambazo anadai ndizo zilizosababisha wanajangwani kut...

Read more » Soma zaidi »

WABUNGE WATEULE WAPEWA MAELEKEZO NA OFISI YA BUNGE
WABUNGE WATEULE WAPEWA MAELEKEZO NA OFISI YA BUNGE

Ofisi ya Bunge imetoa maelekezo kwa wabunge wateule wanaotarajiwa kuapishwa kuanzia Novemba 10 hadi 12, 2020 jijini Dodoma, kuambatana na wa...

Read more » Soma zaidi »

CHADEMA PEKEE KUTOA WABUNGE VITI MAALUM UPINZANI
CHADEMA PEKEE KUTOA WABUNGE VITI MAALUM UPINZANI

TUME ya Taifa ya Uchaguzi (NEC) imesema vyama viwili kati ya 20 vilivyoshiriki katika uchaguzi mkuu uliofanyika Oktoba 28, mwaka huu ambavyo...

Read more » Soma zaidi »

LIVE: UAPISHO WA MWANASHERIA MKUU WA SERIKALI PROF. ADELARDUS KILANGI, IKULU CHAMWINO - DODOMA
LIVE: UAPISHO WA MWANASHERIA MKUU WA SERIKALI PROF. ADELARDUS KILANGI, IKULU CHAMWINO - DODOMA

  Rais Mhe. Dkt. John Pombe Magufuli akimwapisha Mwanasheria Mkuu wa Serikali Prof. Adelardus Kilangi, Ikulu Chamwino - Dodoma.

Read more » Soma zaidi »

TRUMP AKATAA USHINDI WA BIDEN
TRUMP AKATAA USHINDI WA BIDEN

Baada ya kusubiri kwa muda matokeo ya uchaguzi ambayo yametangazwa jana,   Donald Trump  amekataa kushindwa na Joe Biden katika uchaguzi Mku...

Read more » Soma zaidi »

KASSIM MAJALIWA AWAJULIA HALI MZEE KING KIKI NA MKUU WA WILAYA YA MLELE
KASSIM MAJALIWA AWAJULIA HALI MZEE KING KIKI NA MKUU WA WILAYA YA MLELE

Waziri Mkuu Mstaafu, Kassim Majaliwa, akizungumza na Msanii mkongwe wa muziki wa dansi Kikumbi Mwanza Mpango, maarufu kama (King Kiki) , wak...

Read more » Soma zaidi »

RAIS MWINYI ATEUA MAKAMU WA PILI WA RAIS ZANZIBAR
RAIS MWINYI ATEUA MAKAMU WA PILI WA RAIS ZANZIBAR

Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi, Dkt. Hussein Ali Mwinyi  amemteua Hemed Suleiman Abdulla kuwa Makamu wa Pili wa Rais ...

Read more » Soma zaidi »

LEMA AKAMATWA KENYA AKITAFUTA HIFADHI
LEMA AKAMATWA KENYA AKITAFUTA HIFADHI

Aliyekuwa Mbunge wa Arusha Mjini kupitia Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA), Godbless Lema amekamatwa na Polisi katika Kaunti ya Ka...

Read more » Soma zaidi »

NECTA YAWEKA WAZI RATIBA YA MITIHANI YA KITAIFA 2020
NECTA YAWEKA WAZI RATIBA YA MITIHANI YA KITAIFA 2020

Baraza la Mitihani la Tanzania (NECTA) limetangaza ratiba ya mitihani ya kidato cha pili ambayo itaanza kesho Novemba 9 hadi Novemba 20, 202...

Read more » Soma zaidi »

MVULANA AJIUA BAADA YA KUMPA UJAUZITO MWANAFUNZI
MVULANA AJIUA BAADA YA KUMPA UJAUZITO MWANAFUNZI

Polisi wa Wilaya ya Rakai nchini Uganda wanachunguza mazingira kifo cha mwanafunzi wa mwenye umri wa miaka 16, aliyekufa kwa kunywa sumu ya ...

Read more » Soma zaidi »

IRAN YAMTAKA BIDEN KUIRUDISHA MAREKANI KWENYE MAKUBALIANO YA NYUKLIA
IRAN YAMTAKA BIDEN KUIRUDISHA MAREKANI KWENYE MAKUBALIANO YA NYUKLIA

Rais wa Iran Hassan Rouhani amemtolea wito Rais mteule wa Marekani Joe Biden kulirudisha tena taifa hilo katika makubaliano ya kinyuklia yal...

Read more » Soma zaidi »

MAGAZETI YA LEO JUMATATU 09 NOVEMBA, 2020
MAGAZETI YA LEO JUMATATU 09 NOVEMBA, 2020
Read more » Soma zaidi »
 
Top