} });
 
OFISI YA JENGO LA UTAWALA HALMASHAURI YA WILAYA YA BUSEGA YAKABIDHIWA
OFISI YA JENGO LA UTAWALA HALMASHAURI YA WILAYA YA BUSEGA YAKABIDHIWA

Ofisi ya Jengo la Utawala la Halmashauri ya Wilaya ya Busega limekabidhiwa tayari kwa matumizi. Makabidhiano hayo yamefanyika siku ya Jumata...

Read more » Soma zaidi »

WANANCHI 3,600 WAMEKIMBIA BAADA YA UCHAGUZI IVORY COAST
WANANCHI 3,600 WAMEKIMBIA BAADA YA UCHAGUZI IVORY COAST

Shirika la Umoja wa Mataifa linaloshughulikia Wakimbizi (UNHCR) limesema wananchi 3,600 wamekimbia nchini Ivory Coast kutokana na hofu ya ku...

Read more » Soma zaidi »

SERENGETI YAPEWA TUZO YA HIFADHI BORA BARANI AFRIKA
SERENGETI YAPEWA TUZO YA HIFADHI BORA BARANI AFRIKA

Moja ya taarifa ya kuifahamu leo  November 10, 2020  Hifadhi za taifa ya Serengeti imeshinda tuzo ya kuwa hifadhi bora katika bara ya Afrika...

Read more » Soma zaidi »

MAREKANI MWANASHERIA MKUU AAMURU UCHUNGUZI JUU YA UCHAGUZI
MAREKANI MWANASHERIA MKUU AAMURU UCHUNGUZI JUU YA UCHAGUZI

Mwanasheria Mkuu wa Marekani, William Barr amewaamuru waendesha mashtaka wa Serikali kuanzisha uchunguzi kuhusu dosari katika upigaji kura. ...

Read more » Soma zaidi »

DKT. ABBAS AWATOLEA UVIVU CHADEMA BBC, APANGUA HOJA
DKT. ABBAS AWATOLEA UVIVU CHADEMA BBC, APANGUA HOJA

Msemaji Mkuu wa Serikali ya Tanzania,   Dkt. Hassan Abbasi   ameliambia Shirika la Utangazaji la Uingereza (BBC) kuwa Watanzania wamemaliza ...

Read more » Soma zaidi »

LEMA AACHIWA, APEWA HIFADHI KENYA
LEMA AACHIWA, APEWA HIFADHI KENYA

ALIYEKUWA mbunge wa jimbo la Arusha Mjini, Godbless Lema, ameachiliwa na polisi nchini Kenya baada ya kukamatwa kwa madai ya kuingia nchini ...

Read more » Soma zaidi »

VIDEO: NDUGAI AKUTANA NA ‘KIGINGI’, MBUNGE CHADEMA ASIMAMA
VIDEO: NDUGAI AKUTANA NA ‘KIGINGI’, MBUNGE CHADEMA ASIMAMA

MBUNGE  wa Jimbo la Kongwa kupitia  Chama Cha Mapinduzi (CCM),   Job Ndugai , amekutana na kigingi cha kwanza bungeni wakati akiomba kura za...

Read more » Soma zaidi »

NDUGAI: UKIWA MBUNGE BUBU UMEKWISHA, HAKUNA KUBEBANA
NDUGAI: UKIWA MBUNGE BUBU UMEKWISHA, HAKUNA KUBEBANA

MBUNGE wa Jimbo la Kongwa kupitia Chama Cha Mapinduzi (CCM), Job Ndugai, amechaguliwa kuwa Spika wa Bunge la 12 la Jamhuri ya Muungano wa Ta...

Read more » Soma zaidi »

NDUGAI ACHAGULIWA KUWA SPIKA WA BUNGE
NDUGAI ACHAGULIWA KUWA SPIKA WA BUNGE

Job Ndugai amechaguliwa kuwa Spika wa Bunge la 12 la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania. Uchaguzi wa Spika, umefanyika leo Jumanne tarehe 10 No...

Read more » Soma zaidi »

DONALD TRUMP AMFUTA KAZI WAZIRI WA ULINZI
DONALD TRUMP AMFUTA KAZI WAZIRI WA ULINZI

Rais wa Marekani Donald Trump amemfuta kazi Waziri wa Ulinzi Mark Esper kuashiria kuwa huenda akatumia miezi yake ya mwisho madarakani baada...

Read more » Soma zaidi »

BUNGE LA 12 LAANZA KWA KUMCHAGUA SPIKA WA BUNGE
BUNGE LA 12 LAANZA KWA KUMCHAGUA SPIKA WA BUNGE

Mkutano wa kwanza wa Bunge la 12 umeanza leo jijini Dodoma  wakati Watanzania wakiwa na shauku ya kufahamu nani atateuliwa kuwa waziri mkuu ...

Read more » Soma zaidi »

MWENYEKITI WA CCM RAIS DKT.MAGUFULI AZUNGUMZA NA WABUNGE WATEULE WA CCM JIJINI DODOMA
MWENYEKITI WA CCM RAIS DKT.MAGUFULI AZUNGUMZA NA WABUNGE WATEULE WA CCM JIJINI DODOMA
Read more » Soma zaidi »
 
Top