Diwani mteule wa kata ya Kinuni iliyopo Zanzibar, Suleiman Mohamed Hassan (CCM) amefariki dunia. Katibu wa Idara ya Itikadi na Uenezi wa CCM...
VIDEO: KATIBU MKUU CCM KITETO APATA AJALI MBAYA
Katibu wa CCM Wilayani Kiteto mkoani Manyara , Daniel Mhina, amenusurika kifo wakati akiendesha gari kutoka kiteteto kuelekea Dodoma ....
MASHABIKI 30,000 WARUHUSIWA KUIONA STARS NA TUNISIA
SHIRIKISHO la Mpira wa Miguu Afrika (CAF),limeruhusu watazamaji kwenye mchezo wa kufuzu AFCON kati ya Tanzania na Tunisia utakaochezwa Nov...
WATAKAOPANDISHA BEI YA SARUJI KUNYANG’ANYWA LESENI
SERIKALI imesema itawachukulia hatua kali za kisheria, ikiwemo kuwanyang’anya leseni wale wote watakaobainika kuuza saruji kwa bei ya juu. K...
SAMATTA KUIKOSA TUNISIA
Mshambuliaji wa timu ya taifa ya Tanzania Taifa Stars anayeichezea club ya Fenerbahce ya Uturuki Mbwana Samatta sasa atakuwa nje ya uwanja k...
WALIOIBA PETE YA NDOA, RUNINGA, CAMERA WAFIKISHWA MAHAKAMANI
Watu wanne wamefikishwa katika Mahakama ya Hakimu Mkazi Kinondoni wakikabiliwa na kesi ya unyang’anyi kwa kutumia silaha ikiwemo pete ya ndo...
MWALIMU AKAMATWA KWA KUMBAKA MWANAFUNZI WAKE
Jeshi la Polisi mkoani Morogoro, linamshikilia mwalimu wa taaluma katika Shule ya Msingi Montfort, Eneza Andarson, 27, kwa tuhuma za kumbaka...