} });
 
KIJIJI INDIA CHASHEREHEKEA USHINDI WA KAMALA MAREKANI
KIJIJI INDIA CHASHEREHEKEA USHINDI WA KAMALA MAREKANI

  WAKAZI wa kijiji cha   Thulasendrapuram kusini mwa  India, wamesherekea ushindi wa Makamu wa Rais Mteule wa Marekani, Kamala  Harris, amba...

Read more » Soma zaidi »

DKT. TULIA ASHINDA UNAIBU SPIKA
DKT. TULIA ASHINDA UNAIBU SPIKA

  MBUNGE wa Mbeya Mjini kwa tiketi ya Chama Cha Mapinduzi (CCM), Dkt. Tulia Ackson, amechaguliwa kuwa Naibu Spika wa Bunge la 12 Jamhuri ya ...

Read more » Soma zaidi »

MFAHAMU KASSIM MAJALIWA, WAZIRI MKUU WA TANZANIA
MFAHAMU KASSIM MAJALIWA, WAZIRI MKUU WA TANZANIA

  MAJALIWA Kassim Majaliwa, ambaye amethibitishwa leo Alhamisi, Novemba 12, 2020 na Bunge la 12 Jamhuri ya Muungano wa Tanzania kuendelea na...

Read more » Soma zaidi »

SENZO ATOA KAULI NZITO BIFU LAKE NA SIMBA
SENZO ATOA KAULI NZITO BIFU LAKE NA SIMBA

BAADA ya jana  Novemba 11, 2020,  mshauri wa klabu ya Yanga SC, Senzo Mazingisa, kuhojiwa na maofisa wa polisi katika kituo cha Polisi cha O...

Read more » Soma zaidi »

UWANJA WA NDEGE BUJUMBURA WAFUNGULIWA
UWANJA WA NDEGE BUJUMBURA WAFUNGULIWA

  KUANZIA  siku ya  Jumapili ,  Uwanja  wa ndege wa  Bujumbura, Burundi,  umefunguliwa kwa ajili ya ndege zinazofanya safari kimataifa baada...

Read more » Soma zaidi »

TANZIA: RAIS RAWLINGS WA GHANA AFARIKI DUNIA KWA COVID-19
TANZIA: RAIS RAWLINGS WA GHANA AFARIKI DUNIA KWA COVID-19

RAIS Mstaafu wa Ghana, Jerry Rawlings (73), amefariki dunia nchini humo kutokana na ugonjwa wa Covid-19 unaosababishwa na virusi vya corona....

Read more » Soma zaidi »

MAHAKAMA: KUTOA WOSIA SI UCHURO
MAHAKAMA: KUTOA WOSIA SI UCHURO

Naibu Msajili wa Mahakakama Kuu ya Tanzania, Devotha Kamuzora akizungumza na wadau waliohudhuria mkutano huo. Jamii imeaswa kutoa wosia ili ...

Read more » Soma zaidi »

MATOKEO YA UCHAGUZI WA MAREKANI 2020: MAMBO 5 AMBAYO HUENDA HUYAFAHAMU KUMUHUSU RAIS MTEULE JOE BIDEN
MATOKEO YA UCHAGUZI WA MAREKANI 2020: MAMBO 5 AMBAYO HUENDA HUYAFAHAMU KUMUHUSU RAIS MTEULE JOE BIDEN

  Joe Biden, ambaye alikuwa makamu wa rais chini ya Barak Obama, aliweza kupata uungwaji mkono wa majimbo muhimu ambayo mwaka 2016 yalimpigi...

Read more » Soma zaidi »

MILIONEA WA ZIMBABWE ATAZIKWA NA UTAJIRI WAKE NA WATAKAOHUDHURIA KUVALIA MAVAZI MEUPE
MILIONEA WA ZIMBABWE ATAZIKWA NA UTAJIRI WAKE NA WATAKAOHUDHURIA KUVALIA MAVAZI MEUPE

  Marafiki wa milionea raia wa Zimbwabwe, Genius Kadungure aliyejulikana kama Ginimbi kwa muktadha wa kijamii, wamesema atazikwa na gunia li...

Read more » Soma zaidi »

WABUNGE WOTE WA UPINZANI WAJIUZULU HONG KONG
WABUNGE WOTE WA UPINZANI WAJIUZULU HONG KONG

  BAADA ya Wabunge wenzao 4 kufukuzwa  kazi, Wapinzani wote 15 ambao ni watetezi wa demokrasia  wamejiuzulu ikiwa ni ishara ya kuonesha mshi...

Read more » Soma zaidi »

WAFANYABIASHARA WAWILI WANASWA NA BANGI, SARE ZA JWTZ (+PICHA)
WAFANYABIASHARA WAWILI WANASWA NA BANGI, SARE ZA JWTZ (+PICHA)

  POLISI mkoani Morogoro inawashikilia wafanyabiashara wawili wanaofahamika kwa majina ya Husein Sadick Juma (29) mkazi wa  Kimara Temboni  ...

Read more » Soma zaidi »

TAARIFA MPYA KUHUSU ULAJI WA NYAMA “KULA NYAMA MASAA NANE BAADA YAKUCHINJWA” - VIDEO
TAARIFA MPYA KUHUSU ULAJI WA NYAMA “KULA NYAMA MASAA NANE BAADA YAKUCHINJWA” - VIDEO

Kaimu msajili wa bodi ya nyama Tanzania Amani Sichwale, amesema kiafya  mtu anatakiwa ale nyama ya ng’ombe masaa nane baada yakuchinjwa ili ...

Read more » Soma zaidi »

RAIS MAGUFULI AMEMPENDEKEZA KASSIM MAJALIWA KUWA WAZIRI MKUU
RAIS MAGUFULI AMEMPENDEKEZA KASSIM MAJALIWA KUWA WAZIRI MKUU

  Leo November 12, 2020  Rais wa Jamhuri ya Muungano Tanzania Dkt. John Magufuli amependekeza jina la Mbunge wa Ruangwa Kassim Majaliwa kuwa...

Read more » Soma zaidi »

BUNGE LIVE: KUWASILISHWA KWA JINA PENDEKEZWA LA WAZIRI MKUU, BUNGE LA 12 - 12/11/2020
BUNGE LIVE: KUWASILISHWA KWA JINA PENDEKEZWA LA WAZIRI MKUU, BUNGE LA 12 - 12/11/2020

Read more » Soma zaidi »

BREAKING: RAIS MAGUFULI AMTEUA KASSIM MAJALIWA KUWA WAZIRI MKUU WA TANZANIA
BREAKING: RAIS MAGUFULI AMTEUA KASSIM MAJALIWA KUWA WAZIRI MKUU WA TANZANIA

RAIS Dkt John Pombe Magufuli, leo Novemba 12, amemteua mbunge wa Ruangwa, Kassim Majaliwa, kuwa Waziri Mkuu wa jamuhuri ya Muungano wa Tanz...

Read more » Soma zaidi »

TRUMP AWAZUIA MAAFISA WA SERIKALI KUSHIRIKIANA NA JOE BIDEN
TRUMP AWAZUIA MAAFISA WA SERIKALI KUSHIRIKIANA NA JOE BIDEN

  Rais wa Marekani, Donald Trump amewazuia Viongozi wa Serikali yake kushirikiana na Rais Mteule, Joe Biden, Viongozi wa Trump wamepuuzia ma...

Read more » Soma zaidi »

MAGAZETI YA LEO ALHAMISI 11 NOVEMBA, 2020
MAGAZETI YA LEO ALHAMISI 11 NOVEMBA, 2020

Read more » Soma zaidi »
 
Top