TIMU ya Manchester United imepata hofu kuhusiana na tabia ya kinda wao Mason Greenwood. Klabu hiyo imesema kuwa kuna hofu kubwa kuwa mchezaj...
RAIS MAGUFULI AITAKIA KILA LA HERI TIMU YA TAIFA STARS DHIDI YA TUNISIA NA BONDIA MWAKINYO
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dr John Magufuli amesema kuwa katika kipindi cha miaka mitano ijayo Serikali itatenga kiasi kidogo...
SERIKALI KUNUNUA NDEGE YA MIZIGO, KITUO CHA UWEKEZAJI TANZANIA (TIC) CHAHAMISHIWA OFISI YA RAIS
Rais Magufuli amesema kipindi cha miaka mitano ijayo serikali yake imepanga kuendeleza miundo mbinu kwa kununua ndege moja ya mizigo ili ...
RAIS MAGUFULI: VITAMBULISHO VYA WAJASIRIAMALI VITABORESHWA
Rais Magufuli amesema, vitambulisho vya wajasiriamali ‘machinga’ vitaboreshwa zaidi ili kuwawezesha kupata mikopo benki. Rais Magufuli ame...
ASKOFU GWAJIMA AFUNGUKA KWA MARA YA KWANZA BUNGENI MBELE YA RAIS MAGUFULI
Mbunge wa Kawe kupitia Chama cha Mapinduzi, Josephat Gwajima, kwa mara ya kwanza leo Bungeni kazungumza, ambapo amemshukuru Rais Magufuli ...
JPM: NITATUMBUA MAJIPU, TZ IWE YA MABILIONEA
RAIS John Magufuli amesema kuwa hatosita kuwawajibisha watendaji wake ambao watakuwa wazembe ama watafanya kazi kinyume na taratibu na she...
DAFTARI LA WAPIGA KURA UGANDA, LAPELEKWA UHOLANZI KUHAKIKIWA
TUME ya taifa ya uchaguzi nchini Uganda imelipelekwa daftari la wapiga kura Uholanzi kwa ajili ya kuhakikiwa kuelekea kwenye uchaguzi mkuu...
SIKU MOJA VISA VIPYA VYA CORONA ZAIDI YA ELFU THELATHINI
\ Uingereza imerekodi visa vipya 33,470 vya COVID19 siku moja, ikiwa ni idadi kubwa zaidi tangu kuanza kwa mlipuko huo kwa mujibu wa takwi...
RAIS DR MAGUFULI AAHIDI KUMPA USHIRIKIANO MKUBWA RAIS WA ZANZIBAR DR HUSSEIN MWINYI
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Magufuli ameahidi kufanya kazi kwa ukaribu mkubwa na Rais wa Zanzibar na Serikali ya Mapin...
RAIS MAGUFULI: NCHI YETU IKO SALAMA
Rais Magufuli amesema katika awamu yake ya kwanza madarakani alihakikisha nchi inakuwa na amani huku akivipongeza vyombo vya ulinzi na usa...
RAIS MAGUFULI AMTEUA KABUDI NA MPANGO KUWA MAWAZIRI
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. John Magufuli ameteua Mawaziri wawili wa Baraza jipya la Mawaziri leo, Novemba 13.
LIVE: RAIS MAGUFULI ANAHUTUBIA BUNGENI DODOMA MUDA HUU
Rais Dkt John Pombe Magufuli, leo Novemba 13, analihutubia Bunge la Jamuhuri ya Muungano wa Tanzania, pamoja na kulifungua rasmi Bunge la 12.