Mkuu wa Jeshi la Polisi nchini, Simon Sirro ametangaza kifo cha Naibu Kamishna wa Polisi, Dhahiri Kidavashari kilichotokea leo katika Hospit...
KICHANGA CHAOKOTWA MTO MSIMBAZI
WATEMBEA kwa miguu mchana jana Jumatatu, Novemba 16, 2020, wakipita kando na mto Msimbazi jijini Dar es Salaam walikumbwa na taharuki baada ...
PERU YAPATA RAIS MPYA WA MPITO
Bunge nchini Peru limemteua Francisco Sagasti kuwa Rais wa Mpito, akiwa wa tatu kuiongoza Taifa hilo chini ya siku 7, anatoka Chama pekee ...
NJIA YA JANGWANI IMEFUNGWA, IFAHAMU NJIA MPYA
Kwa mujibu wa taarifa iliyotolewa na Wakala wa Mabasi yaendayo haraka Dar es Salaam (DART), imeeleza kuwa, njia ya Jangwani imefungwa kutoka...
CHANJO YA CORONA INAWEZA ZUIA KWA ASILIMIA 94.5
Kampuni ya dawa ya nchini Marekani iitwayo Moderna imetangaza kuwa uchambuzi wa awali unaashiria kwamba chanjo yake inayoendelea kufanyiwa u...
LAKI MOJA NA NUSU ZAMPONZA HAKIMU
Hakimu wa Mahakama ya Mwanzo Magugu, Adeltus Rweyendera amehukumiwa kifungo cha miaka 3 au kulipa faini ya Milioni 1.5 kwa kupokea rushwa...
WATATU WAHUKUMIWA MIAKA 30 JELA, WALIPORA KWA KUTUMIA SILAHA
Petro Mlongo (29), Masumbuko Sakumi (25) na Jackson Masumbuko (26) wamehukumiwa kifungo cha miaka 30 baada ya kukutwa na hatia kwenye kosa...
VIDEO: WANANCHI WALALAMIKIA HUDUMA NA LUGHA MBOVU HOSPITALI YA MJI KAHAMA
Na Magdalena Kashindye Baadhi ya wananchi Wilayani Kahama Mkoani Shinyanga wamelalamikia huduma na lugha mbovu zinazotolewa katika hospi...
WAZIRI MKUU UINGEREZA AJITENGA BAADA YA KUKUTANA MTU MWENYE CORONA
Waziri Mkuu wa Uingereza Boris Johnson ametangaza kujitenga baada ya kukutana na Mbunge wa Ashfield, Lee Anderson ambaye baadaye alithibitis...
WASHAURI WA JOE BIDEN WATAKA HATUA ZA HARAKA VITA YA CORONA
Washauri wa Rais Mteule wa Marekani, Joe Biden wametaka hatua za haraka kuchukuliwa ili kudhibiti janga la Corona virus wakati maambukizi ...