MKURUGENZI wa Sheria na Wanachama wa Klabu ya Yanga SC, Patrick Simon, jana mchana alitoa waraka kukanusha tuhuma zinazotolewa na baadhi ya ...
KOCHA MKUU NAMUNGO AFUTWA KAZI
IMEELEZWA kuwa Hitimana Thiery amefutwa kazi ndani ya Klabu ya Namungo FC inayotumia Uwanja wa Majaliwa kwa mechi zake za nyumbani. Ko...
WASAFIRISHAJI NYAMA KWA BODABODA KUSAJILIWA SASA
Kaimu msajili wa bodi ya nyama, Imani Sichwale, amesema Bodi ya Nyama imejipanga kuandaa utaratibu wa usajili wa wabeba nyama kwa njia ya ...
YANGA SC YAMSIMAMISHA KAZI KATIBU MKUU
Kamati ya utendaji ya Yanga SC imemsimamisha kazi kaimu katibu mkuu wao na Mkurugenzi wa sheria na wanachama wakili Patrick Simon ili kupi...
MGOMBEA URAIS WA UPINZANI NCHINI UGANDA BOBI WINE AKAMATWA NA POLISI
Kiongozi wa chama cha National Unity Platform (NUP) Robert Kyagulanyi Maafufu Bobi Wine amekamatwa na jeshi la polisi nchini Uganda akiwa ka...
TRUMP AMFUKUZA KAZI AFISA USALAMA WA UCHAGUZI
Rais Trump ametumia akaunti yake ya Twitter kumfukuza kazi Christopher Krebs, Mkuu wa Wakala wa Usalama na Miundombinu (Cisa), akisema kuwa ...
VIDEO: MICHUANO YA CECAFA YAREJEA RASMI
Rais wa CECAFA, Wallace Karia(Pichani) akizungumzia matayarisho ya mashindano ya vijana yanayotarajiwa kuanza hivi karibuni. Baraza la Miche...
LIVE: WAZIRI MKUU ANAZINDUA NJIA YA MCHEPUKO KUPITISHA MAJI KATIKA MRADI WA UMEME
WAZIRI Mkuu, Kassim Majaliwa, ametembelea ujenzi wa Bwawa la kufua umeme amabapo anazindua njia ya mchepuko ya kupitisha maji katika mradi huo.
VIRUSI VYA CORONA: MHUDUMU WA AFYA WA ISRAELI AFUTWA KAZI BAADA YA KUTEMEA MATE PICHA ZA YESU
Kitengo cha huduma za magari ya kubebea wagonjwa zimelaani tukio hilo Mhudumu wa gari la kubebea wagonjwa aliyenaswa na kamera nchini Israel...
CCTV CAMERA ZILIZOFUNGWA KWENYE UKUTA WA MIRERANI ZAKABIDHIWA KWA JESHI
Katika kuhakikisha usalama katika eneo la machimbo ya madini ya Tanzanite Mirerani unaimarika, Serikali kupitia wizara hiyo Imekabidhi m...
VIDEO: AFISA LATRA ALIEMTISHIA DEREVA LORI PANGA ASIMAMISHWA KAZI
Mamlaka ya Udhibiti usafiri Ardhini LATRA imemsimamisha kazi Afisa wake kutoka Mkoa wa Lindi ambaye video yake imesambaa mtandaoni akimshiki...