Mkurugenzi wa Mashtaka Nchini Biswalo Mganga amewaonya wauzaji wa vifaa vya Ujenzi kufuatia baadhi yao kuficha cement na mabati kwa leng...
WATU SABA WAFARIKI DUNIA WAKIDAI KUACHILIWA HURU KWA BOBI WINE
Idadi ya waaandamanaji waliofariki dunia wakati wa maaandamano ya Jumatano ya kupinga kukamatwa kwa Robert Kyagulanyi maarufu kama Bobi Wi...
MWANAMKE ALIYEFUNGWA NA MUMEWE KWA TUHUMA ZA UCHAWI NIGERIA
Mwanamke aliyefungwa na mumewe kwa miaka minne kwa tuhuma za uchawi Nigeria Mwanamke anayeitwa Gladys anapata matibabu katika hospitali ya O...
NDEGE ZA BOEING 737 MAX ZARUHUSIWA KUSAFIRI
MAMLAKA ya Safari za Anga Marekani (FAA), imetia saini ya kukubali kuanza kufanya safari kwa ndege aina ya Boeing 737 zilizopigwa marufuk...
MOBETO AAMBIWA ANA DAMU YA KUNGUNI
Mwanadada ambaye ni mwanamitindo na msanii wa Bongo Fleva, Hamisa Mobeto ameambiwa kuwa siyo siri ana damu ya kunguni. Hii ni baada ya M...
BABU KUOZEA JELA, KUCHAPWA VIBOKO
MAHAKAMA ya Hakimu Mkazi Wilaya ya Nzega mkoani Tabora, imemhukumu kifungo cha maisha jela na kumchapa viboko sita, mkazi wa Mtaa wa Nationa...
MWINYI ABAINI MADUDU KWENYE HOSPITALI, ATOA MIEZI 3
Rais wa Zanzibar Dkt. Hussein Ali Mwinyi , amefanya ziara ya kushtukiza katika hospitali ya Mnazi Mmoja na kuutaka uongozi wa hospitali ...
FACEBOOK YASHUTUMIWA KULAZIMISHA WAFANYAKAZI KURUDI KAZINI
Zaidi ya Wafanyakazi 200 wa Facebook wamedai Kampuni hiyo inawalazimisha wasimamia maudhui kurudi ofisini licha ya hatari ya kupata maambu...
WAHAMIAJI HARAMU 36 WAKAMATWA DAR, RC KUNENGE ATOA ONYO
Vyombo vya ulinzi na usalama Mkoa wa Dar es salaam vimefanikiwa kuwatia mbaroni Wahamiaji haramu 36 raia wa Ethiopia na Somalia walioingia n...
BAADA YA KUTOKA AFRIKA KUSINI, BUSHIRI NA MKEWE WAJISALIMISHA POLISI MALAWI
Mhubiri Shepherd Bushiri na Mke Wake Mary wamejisalimisha leo asubuhi kwa Vikosi vya Usalama Nchini Malawi ambako walikimbilia wakitoroka ...
VIDEO: MACHAFUKO UGANDA, RISASI, MABOMU VYARINDIMA, WANAMTAKA BOBI WINE
Waandamanaji wameibuka Jijini Kampala nchini Uganda baada ya Polisi kumkamata Mgombea Urais, Robert Kyagulanyi maarufu Bobi Wine akiwa anaen...
WHO YATANGAZA MWISHO WA MLIPUKO WA EBOLA
Shirika la Afya Duniani (WHO) limetangaza mwisho wa mlipuko wa 11 wa Ugonjwa wa Ebola nchini DR Congohumo, ikiwa ni takriban miezi 6 tangu...