} });
 
BIDEN KUITANGAZA RASMI TIMU YAKE YA USALAMA WA TAIFA
BIDEN KUITANGAZA RASMI TIMU YAKE YA USALAMA WA TAIFA

Rais mteule wa Marekani Joe Biden anatarajiwa kuzindua timu yake ya usalama wa taifa, akiitengeneza timu ya maafisa waliohudumu chini ya uta...

Read more » Soma zaidi »

MAPACHA WA KIUME WAOA MAPACHA WENZAO
MAPACHA WA KIUME WAOA MAPACHA WENZAO

Hassan Sulaiman na Hussaini Dey ni mapacha wawili wa kiume wenye miaka 33, wameoa mapacha wenzao wa kike ambao wamefahamika kwa majina ya Ha...

Read more » Soma zaidi »

KIONGOZI WA WAASI DR CONGO AHUKUMIWA MAISHA JELA
KIONGOZI WA WAASI DR CONGO AHUKUMIWA MAISHA JELA

Aliyekuwa Kiongozi wa Wanamgambo katika taifa la Jamhuri ya Kidemokrasia ya Congo, Ntabo Ntaberi amehukumiwa kifungo cha maisha jela kwa mak...

Read more » Soma zaidi »

VIDEO: SPIKA AWAAPISHA MDEE, WENZAKE KUWA WABUNGE
VIDEO: SPIKA AWAAPISHA MDEE, WENZAKE KUWA WABUNGE

  WABUNGE 19 wa Viti Maalum kutoka Chama cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema) wakiongozwa na Halima Mdee, wameapishwa leo katika viwanja vy...

Read more » Soma zaidi »

CHADEMA: HATUJAPELEKA MAJINA YA VITI MAALUM NEC
CHADEMA: HATUJAPELEKA MAJINA YA VITI MAALUM NEC

  KATIBU Mkuu wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema), John Mnyika, amesema  chama hicho hakijateua wabunge wa viti maalum na hivyo h...

Read more » Soma zaidi »

MBATIA AWAGEUKIA VIONGOZI WA DINI
MBATIA AWAGEUKIA VIONGOZI WA DINI

MWENYEKITI wa  NCCR-Mageuz i,  James Mbatia , amewataka viongozi wa kidini kutumia ndimi zao vizuri, kukubaliana na  maslahi ya  Tanzania  k...

Read more » Soma zaidi »

KAULI YA ZITTO KUHUSU SERIKALI YA UMOJA WA KITAIFA ZANZIBAR
KAULI YA ZITTO KUHUSU SERIKALI YA UMOJA WA KITAIFA ZANZIBAR

  KIONGOZI Mkuu wa  ACT-Wazalendo  amesema, hadi sasa chama hicho hakijafanya uamuzi kuhusu ushiriki wake katika uundwaji wa Serikali ya Umo...

Read more » Soma zaidi »

TFF YATOA TAMKO KUHUSISHWA NA SAKATA LA RAIS WA CAF
TFF YATOA TAMKO KUHUSISHWA NA SAKATA LA RAIS WA CAF

  SHIRIKISHO la Mpira wa Miguu Tanzania (TFF) limetoa ufafanuzi juu ya kuhusishwa kwa Rais wake, Wallace Karia, katika malipo yanayodaiwa ku...

Read more » Soma zaidi »

RAIS MAGUUFI AWATEUA MWAKYEMBE, DKT. SHEIN
RAIS MAGUUFI AWATEUA MWAKYEMBE, DKT. SHEIN

  RAIS John  Magufuli  amemteua Rais Mstaafu wa Zanzibar, Dkt. Ali Mohamed Shein, kuwa Mkuu wa Chuo Kikuu Mzumbe akichukua nafasi ya Jaji Ms...

Read more » Soma zaidi »

IDADI YA WANAUME WENYE UMRI WA KUFANYA KAZI WALIOJIUA YAONGEZEKA
IDADI YA WANAUME WENYE UMRI WA KUFANYA KAZI WALIOJIUA YAONGEZEKA

Wizara ya Afya ya Japani imesema kuwa wanaume 705 walio na miaka ya 20 hadi 50 walijiua mwezi Septemba mwaka huu. Idadi hiyo imeongezeka kwa...

Read more » Soma zaidi »

VIDEO: BABU AMBAKA NA KUMPA UJAUZITO MJUKUU WAKE “POLISI WAMEMNASA”
VIDEO: BABU AMBAKA NA KUMPA UJAUZITO MJUKUU WAKE “POLISI WAMEMNASA”

  Jeshi la Polisi Mkoa wa Tabora limemkamata Mzee Said Abduratifu Tumain (67) kwa tuhuma ya kumbaka na kumpa ujauzito mjukuu wake (13) mwana...

Read more » Soma zaidi »

VYOMBO VYA HABARI UGANDA VYAGOMA KURUSHA HOTUBA YA MUSEVENI
VYOMBO VYA HABARI UGANDA VYAGOMA KURUSHA HOTUBA YA MUSEVENI

  Vyombo vya habari binafsi nchini Uganda, vimekataa kurusha hotuba ya Rais Yoweri Museveni ambayo alikuwa amepanga kufanya kila Jumapili, k...

Read more » Soma zaidi »

KUNENGE AWAPONGEZA WAUGUZI DAR
KUNENGE AWAPONGEZA WAUGUZI DAR

MKUU wa Mkoa wa Dar es Salaam,   Aboubakar Kunenge,  amewapongeza wauguzi wa mkoa huo kwa kazi kubwa na nzuri wanayoifanya katika kuokoa mai...

Read more » Soma zaidi »

TRUMP AKUBALI KUKABIDHI MADARAKA KWA BIDEN
TRUMP AKUBALI KUKABIDHI MADARAKA KWA BIDEN

  RAIS Donald Trump amekubali kuanza kwa mchakato rasmi wa kumkabidhi madaraka Rais Mteule Joe Biden kwa kuliambia shirika  linaloshughuliki...

Read more » Soma zaidi »

RC KUNENGE AKASIRIKA UJENZI DARAJA LA ULONGONI “A” KUSUASUA, AMTAKA MKANDARASI KUFIKA OFISINI JUMATANO
RC KUNENGE AKASIRIKA UJENZI DARAJA LA ULONGONI “A” KUSUASUA, AMTAKA MKANDARASI KUFIKA OFISINI JUMATANO

Mkuu wa Mkoa wa Dar es salaam Mhe. Aboubakar Kunenge ameonyesha kutoridhishwa na kasi ya Mkandarasi wa kampuni ya CICO anayetekeleza Mradi w...

Read more » Soma zaidi »

MATOKEO DARASA LA SABA 2020 YATANGAZWA, TAZAMA MATOKEO HAPA
MATOKEO DARASA LA SABA 2020 YATANGAZWA, TAZAMA MATOKEO HAPA

BARAZA la Mitihani la Taifa (Necta) Jumamosi tarehe 21 Novemba 2020, limetangaza matokeo ya mtihani wa darasa la saba mwaka 2020. Baraza la ...

Read more » Soma zaidi »

VOLKANO YATOPE YASABABISHA NYUMBA KUTITIA DSM
VOLKANO YATOPE YASABABISHA NYUMBA KUTITIA DSM

Mkuu wa Mkoa wa DSM Aboubakar Kunenge amewaelekeza baadhi ya Wakazi wa eneo la Kunduchi Mtongani ambao nyumba zao zimepitiwa na ujiuji wa vo...

Read more » Soma zaidi »

EU YAITAKA MAREKANI KUSITISHA HUKUMU YA KIFO
EU YAITAKA MAREKANI KUSITISHA HUKUMU YA KIFO

Jumuiya ya Ulaya (EU) imetoa wito kwa Serikali ya Marekani kusitisha utekelezaji wa hukumu ya kifo ya unyongaji iliyoanzishwa tena kufuatia ...

Read more » Soma zaidi »

DR. TULIA ATENGA SIKU MBILI KILA WIKI KUSIKILIZA KERO ZA WANANCHI
DR. TULIA ATENGA SIKU MBILI KILA WIKI KUSIKILIZA KERO ZA WANANCHI

  November 23, 2020 Mbunge wa Jimbo la Mbeya Mjini Dr. Tulia Ackson amezungumza na Waandishi wa Habari nyumbani kwake na kuwaeleza ratiba ya...

Read more » Soma zaidi »

UNDERTAKER ASTAAFU MIELEKA
UNDERTAKER ASTAAFU MIELEKA

Kuna hii ya kuifamu leo November 23, 2020 inayomhusu mchezaji maarufu wa mchezo wa mieleka- Undertaker ambaye amethibitisha rasmi kujiuzulu ...

Read more » Soma zaidi »

FIFA YAMFUNGIA RAIS WA CAF
FIFA YAMFUNGIA RAIS WA CAF

  Rais wa Shirikisho la soka barani Afrika (CAF), Ahmad amepigwa marufuku ya miaka mitano na Shirikisho la soka duniani Fifa kwa kukiuka she...

Read more » Soma zaidi »

ANELE AFARIKI KWA AJALI YA GARI
ANELE AFARIKI KWA AJALI YA GARI

Mchezaji wa zamani wa timu ya taifa ya Afrika Kusini, KRC Genk na Mamelodi Sundowns Anele Ngcongca ,33, amefariki dunia Novemba 23, 2020 kwa...

Read more » Soma zaidi »

WAZIRI MKUU ETHOPIA ATOA SAA 72 KWA WAASI
WAZIRI MKUU ETHOPIA ATOA SAA 72 KWA WAASI

  Waziri mkuu wa Ethiopia  Abiy Ahmed , ametoa muda wa saa 72 kwa vikosi vya mkoa wa Tigray kujisalimisha kabla ya jeshi la shirikisho kuanz...

Read more » Soma zaidi »

MAGAZETI YA LEO JUMANNE 24 NOVEMBA, 2020
MAGAZETI YA LEO JUMANNE 24 NOVEMBA, 2020

Read more » Soma zaidi »
 
Top