Mitandao ya habari nchini Argentina imeripoti kuwa legend wa soka wa Argentina Diego Maradona (60) amefariki dunia wiki 2 baada ya kuruhus...
ORODHA YA WANAOWANIA TUZO YA FIFA
Shirikisho la soka Duniani (FIFA), limetoa orodha ya wanasoka 11 wanaowania tuzo ya mchezaji bora wa Dunia 2020, tuzo hiyo itatolewa Disemba...
NDEGE MPYA AINA YA BOMBARDIER ITAWASILI NCHINI MWISHONI DECEMBER
Mkuu wa Kitengo cha Mawasiliano wa Kampuni ya Ndege nchini (ATCL), Josephat Kagirwa , ameeleza kuwa ingawa hawajapata tarehe rasmi ya kuw...
VIDEO: MNYIKA AZUNGUMZIA SAKATA LA HALIMA MDEE NA WENZIE “HATUJATOA MAJINA”
Leo November 25, 2020 Katibu Mkuu wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA), John Mnyika amesema chama hicho hakijatoa majina ya Wab...
VIDEO: NDANI YA DALADALA:BINTI KABAKWA, KAPIGWA NA KUPORWA FEDHA “GARI ILIBADILI NJIA”
Jeshi la Polisi mkoani Arusha linawatafuta watu watatu ikiwemo dereva na kondakta wa moja ya daladala mkoani Arusha kwa kutuhumiwa kumpiga,...
WALIOISABABISHIA HASARA TCRA WAHUKUMIWA
Mahakama ya Hakimu Mkazi Kisutu, imemuhukumu Mhandisi Baraka Mtunga (43) na Rajabu Katunda (42) kulipa faina ya Sh. Milioni 1.5 kwa kila m...
TAKUKURU YAMKAMATA MENEJA WA FEDHA WAKAMPUNI YA VINYWAJI VIKALI BEVCO
Taasisi ya Kuzuia na Kupamba na Rushwa (TAKUKURU) imemkamata Rwegasira Samson kijiji cha Kinang’weli, Itimila Mkoani Simiyu
WAFANYABIASHARA WAKUBALIANA FAIDA YA SARUJI ISIZIDI SH. 500
Uongozi wa Mkoa wa Tabora umekutana na wafanyabiashara wa vifaa vya ujenzi na saruji na kukubaliana faida wanayopata katika kila mfuko mmo...
CHAMA CHA CHADEMA CHASEMA HAKIJUI ALIOWATEUA WABUNGE MAALUM WALIOAPISHWA NA NDUGAI
Halima Mdee - mmoja wa wabunge maalum wa Chadema walioapishwa bungeni Jumanne Nov 24 2020 Chama cha upinzani nchini Tanzania Chadema, kimefu...