} });
 
JENERALI MABEYO ATUNUKIWA NISHANI MAALUM YA MLIMA KILIMANJARO
JENERALI MABEYO ATUNUKIWA NISHANI MAALUM YA MLIMA KILIMANJARO

Mkuu wa Majeshi ya Ulinzi akipokea Nishani Maalum ya juu ya Mlima Kilimanjaro kutoka kwa Mkuu wa Chuo Kikuu cha Iringa, Baba Askofu Mstaafu ...

Read more » Soma zaidi »

BAVICHA SHINYANGA WAMVAA MDEE NA WENZAKE, WATAKA WAKIOMBE RADHI CHAMA
BAVICHA SHINYANGA WAMVAA MDEE NA WENZAKE, WATAKA WAKIOMBE RADHI CHAMA

Mwenyekiti wa Baraza la vijana (BAVICHA) Jimbo la Shinyanga mjini Samson Ng'wagi, katikati, akizungumza na waandishi wa habari, kushoto ...

Read more » Soma zaidi »

WAPINZANI WA SIMBA WALIWAHI KUSHINDA 79-0, WAKAFUNGIWA
WAPINZANI WA SIMBA WALIWAHI KUSHINDA 79-0, WAKAFUNGIWA

LIGI ya Mabingwa Afrika inatarajiwa kuanza wikiendi hii, ni michuano ya 25 tangu kuanzishwa kwa mfumo wa ligi hiyo unaotumika kwa sasa.   Si...

Read more » Soma zaidi »

HUU NDIYO MLIMA WA SIMBA CAF
HUU NDIYO MLIMA WA SIMBA CAF

  MICHUANO ya Ligi ya Mabingwa Afrika msimu wa 2020/21 ambayo inaandaliwa na Shirikisho la Soka la Afrika (CAF), inatarajiwa kuanza wikiendi...

Read more » Soma zaidi »

MPAMBANO WA MASUMBWI KATI YA TYSON, ROY JONES WAISHA KWA SARE
MPAMBANO WA MASUMBWI KATI YA TYSON, ROY JONES WAISHA KWA SARE

  Mpambano wa masumbwi ambao ulikuwa wa hisani, baina ya Bingwa wa zamani wa Ndodi, Mike ‘Iron’Tyson dhidi ya Roy Jones Jr umeshindwa  kumpa...

Read more » Soma zaidi »

WANAWAKE WA SHOKA UPINZANI KARIBUNI CCM - DKT. BASHIRU (+VIDEO)
WANAWAKE WA SHOKA UPINZANI KARIBUNI CCM - DKT. BASHIRU (+VIDEO)

Katibu Mkuu wa Chama cha Mapinduzi, Dkt. Bashiru Ally  amewakaribisha wanawake kutoka vyama vya upinzania kujiunga na CCM kwa kile alichodai...

Read more » Soma zaidi »

MALKIA ELIZABETH APIGA MARUFUKU WANAFAMILIA KUTUMIA MANENO HAYA NANE
MALKIA ELIZABETH APIGA MARUFUKU WANAFAMILIA KUTUMIA MANENO HAYA NANE

  Malkia Elizabeth wa Uingereza amepiga marufuku wanafamilia wa familia ya kifalme kutumia maneno nane ya kawaida ambayo anaona yanasusha ha...

Read more » Soma zaidi »

TETESI ZA SOKA LEO JUMAPILI NOVEMBA 29, 2020
TETESI ZA SOKA LEO JUMAPILI NOVEMBA 29, 2020

Arsenal iko tayari kumuuza winga wa Ivory Coast Nicolas Pepe ikiwa kutapatikana mnunuaji mzuri wa mchezaji huyo, 25. (Daily Star on Sunday)

Read more » Soma zaidi »

WAZIRI MKUU APIGA MARUFUKU TOZO YA UNYAUFU
WAZIRI MKUU APIGA MARUFUKU TOZO YA UNYAUFU

WAZIRI MKUU Kassim Majaliwa amewaagiza waendesha maghala kuacha kukata tozo ya upungufu wa uzito wa korosho ghafi zilizohifadhiwa ghalani (u...

Read more » Soma zaidi »

WAZALISHAJI WA MAFUTA YA KULA FUATENI KANUNI ZA UZALISHAJI - BW. SUDI
WAZALISHAJI WA MAFUTA YA KULA FUATENI KANUNI ZA UZALISHAJI - BW. SUDI

  Wazalishaji na wasindikaji wa Mafuta ya Kula Mkoani Kigoma wametakiwa kufuata kanuni za uzalishaji bora ili kuweza kukuza biashara ya Mafu...

Read more » Soma zaidi »

DKT. BASHIRU AWAKARIBISHA WALIOFUKUZWA UPINZANI
DKT. BASHIRU AWAKARIBISHA WALIOFUKUZWA UPINZANI

Katibu Mkuu wa Chama cha Mapinduzi, Dkt. Bashiru Ally Kakurwa amewakaribisha wanawake kutoka vyama vya upinzania kujiunga na CCM kwa kile al...

Read more » Soma zaidi »

SIMBA SC YATANGAZA MBINU YAKE DHIDI YA PLATEAU
SIMBA SC YATANGAZA MBINU YAKE DHIDI YA PLATEAU

  Kocha wa Simba SC Sven Vandenbroeck, amesema katika mchezo wa Ligi ya Mabingwa Afrika hatua ya awali leo dhidi ya Plateau United, wataanza...

Read more » Soma zaidi »

MWAKINYO APANDA VIWANGO, AMKARIBIA PACQUIAO
MWAKINYO APANDA VIWANGO, AMKARIBIA PACQUIAO

  BONDIA  namba moja nchini, Hassan Mwakinyo, ametajwa kuwa bondia wa nyota tatu duniani, akihitaji kutafuta nyota nyingine mbili ili kuingi...

Read more » Soma zaidi »

IRAN KULIPIZA KIFO CHA MWANASAYANSI WA NYUKLIA, ISRAEL YATAJWA
IRAN KULIPIZA KIFO CHA MWANASAYANSI WA NYUKLIA, ISRAEL YATAJWA

RAIS wa Iran, Hassan Rouhani, amesema lazima walipize kisasi baada ya mwanasayansi wao wa  nyuklia, Mohsen Fakhrizade, kuuawa huku wakiamini...

Read more » Soma zaidi »

BOKO HARAM WAUA WAKULIMA 43 NIGERIA
BOKO HARAM WAUA WAKULIMA 43 NIGERIA

  Kundi la Boko Haram la Nchini Nigeria limewaua  Wakulima 43 wa Jimbo la Borno katika mashamba yao ya mpunga yaliopo Zabrmari. Rais wa Nige...

Read more » Soma zaidi »

MWENDESHA BAISKELI ALIELAWITI MTOTO AHUKUMIWA MAISHA GEREZANI
MWENDESHA BAISKELI ALIELAWITI MTOTO AHUKUMIWA MAISHA GEREZANI

  Mahakama ya Hakimu mkazi Mkoa wa Tabora imemuhukumu kifungo cha maisha aliyekuwa akifanyakazi ya kubeba abiria kwa njia ya baiskeli Mjini ...

Read more » Soma zaidi »

“NDUGAI NI KAMA MGANGA ANAPOKEA WAGONJWA, WALE 19 SIO WABUNGE” MSEKWA
“NDUGAI NI KAMA MGANGA ANAPOKEA WAGONJWA, WALE 19 SIO WABUNGE” MSEKWA

Spika Mstaafu wa Bunge, Pius Msekwa, amesema kwa mujibu wa katiba mpaka sasa Halima Mdee na wenzake 18, hawana tena sifa za kuwa wabunge kwa...

Read more » Soma zaidi »

VIDEO: TAMKO LA BAWACHA JUU SAKATA LA AKINA HALIMA MDEE
VIDEO: TAMKO LA BAWACHA JUU SAKATA LA AKINA HALIMA MDEE

  Baraza la Wanawake wa CHADEMA wametoa tamko juu ya wenzao 19 walioapishwa kuwa Wabunge Viti Maalum, tazama video hapa chini.

Read more » Soma zaidi »

VIDEO: WATUHUMIWA 26 WAKAMATWA KWA KUIBA VYUMA KWENYE SGR
VIDEO: WATUHUMIWA 26 WAKAMATWA KWA KUIBA VYUMA KWENYE SGR

  Kamanda wa Polisi Mkoa wa Pwani Wankyo Nyigesa amesema wameendelea kukamata magari zaidi yenye vyuma chakavu kwa tuhuma za wizi katika ope...

Read more » Soma zaidi »

VIDEO: RC CHALAMILA ASWEKA WATU SITA NDANI KWA KUGHUSHI SAHIHI ZA MAREHEMU
VIDEO: RC CHALAMILA ASWEKA WATU SITA NDANI KWA KUGHUSHI SAHIHI ZA MAREHEMU

Mkuu wa Mkoa wa Mbeya, Albert Chalamila, Novemba 28 ameamuru kukamatwa kwa watu sita na kufikishwa Mahakamani baada ya kubainika kughushi sa...

Read more » Soma zaidi »

KIONGOZI WA HONG KONG AFUNGIWA AKAUNTI YA BENKI NA MAREKANI
KIONGOZI WA HONG KONG AFUNGIWA AKAUNTI YA BENKI NA MAREKANI

Kiongozi wa Hong Kong, Carrie Lam amefungiwa akaunti yake ya benki baada ya Marekani kumuwekea vikwazo vya kiuchumi, ikimuadhibu kwa kutanga...

Read more » Soma zaidi »

“CHANJO ISITARAJIWE KUTOKOMEZA KABISA CORONA” WHO
“CHANJO ISITARAJIWE KUTOKOMEZA KABISA CORONA” WHO

  Shirika la Afya Ulimwenguni (WHO) limesisitiza kwa mara nyingine tena kwamba inahitajika asilimia 60 mpaka 70 ya watu wapatiwe chanjo ili ...

Read more » Soma zaidi »

RAIS MAGUFULI AMTEUA HUMPHREY POLEPOLE KUWA MBUNGE
RAIS MAGUFULI AMTEUA HUMPHREY POLEPOLE KUWA MBUNGE

  Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Magufuli amefanya uteuzi wa wabunge wawili kwenye Bunge la Tanzania.

Read more » Soma zaidi »

MAGAZETI YA LEO JUMAPILI 29 NOVEMBA, 2020
MAGAZETI YA LEO JUMAPILI 29 NOVEMBA, 2020

Read more » Soma zaidi »
 
Top