} });
 
SERIKALI INAPOTEZA BILIONI 38 KWA MABASI KUTOTUMIA MTANDAO
SERIKALI INAPOTEZA BILIONI 38 KWA MABASI KUTOTUMIA MTANDAO

Kamishna Mkuu wa Mamlaka ya Mapato Tanzania (TRA),  Dkt. Edwin Mhede , amesema Serikali inapoteza zaidi ya Tsh. Bilioni 38 kwa mwaka kutokan...

Read more » Soma zaidi »

WALIOTAKA KUTOROKA KWENDA AFRIKA KUSINI WAHUKUMIWA
WALIOTAKA KUTOROKA KWENDA AFRIKA KUSINI WAHUKUMIWA

  Mahakama ya Hakimu Mkazi Kisutu imewahukumu Watanzania tisa kulipa faini ya Sh50,000 kila mmoja au kutumikia kifungo cha miezi mitatu jela...

Read more » Soma zaidi »

DAKTARI ALIEMTIBU MARADONA ANACHUNGUZWA
DAKTARI ALIEMTIBU MARADONA ANACHUNGUZWA

Waendesha mashtaka nchini Argentina wanamchunguza Daktari wa, Diego Maradona(60) kwa uwezekano wa kuua kufuatia kifo cha nyota huyo wa soka ...

Read more » Soma zaidi »

MKATABA WA MATUMIZI YA KISWAHILI KATKA SHULE AFRIKA KUSINI KUSAINIWA 2021
MKATABA WA MATUMIZI YA KISWAHILI KATKA SHULE AFRIKA KUSINI KUSAINIWA 2021

  Ubalozi wa Tanzania nchini Afrika Kusini wapewa changamoto ya kuhakikisha kuwa unatekeleza Diplomasia ya Uchumi pamoja na Diplomasia ya Si...

Read more » Soma zaidi »

VIDEO: MBUNGE WA ARUSHA MJINI GAMBO AMEONGEA NA WAANDISHI WA HABARI LEO
VIDEO: MBUNGE WA ARUSHA MJINI GAMBO AMEONGEA NA WAANDISHI WA HABARI LEO

  Mbunge wa Arusha mjijni Mrisho Gambo ameongea na waandishi wa habari ofisini kwake leo.

Read more » Soma zaidi »

MADAKTARI WALIOTOA FIGO NA MAINI YA MAREHEMU WAHUKUMIWA
MADAKTARI WALIOTOA FIGO NA MAINI YA MAREHEMU WAHUKUMIWA

Watu sita wakiwemo Madaktari wamefungwa gerezani nchini China kwa kutoa viungo vya mwili kinyume cha sheria kwa watu waliofariki kutokana na...

Read more » Soma zaidi »

TETESI ZA SOKA ULAYA JUMATATU TAREHE 30 NOVEMBA, 2020
TETESI ZA SOKA ULAYA JUMATATU TAREHE 30 NOVEMBA, 2020

Kiungo wa kati Mjerumani Sami Khedira, 33, anasema anaweza kuhamia katika Primia Ligi wakati mkataba wake na Juventus utakapoisha msimu huu.

Read more » Soma zaidi »

RASHID CHARLES MBERESERO: MTANZANIA ALIYEFUNGWA KWA UGAIDI KENYA AJINYONGA GEREZANI
RASHID CHARLES MBERESERO: MTANZANIA ALIYEFUNGWA KWA UGAIDI KENYA AJINYONGA GEREZANI

  Mtanzania aliyehukumiwa kwa kuhusika katika shambulio la kigaidi lililotokea mwaka 2015 katika chuo kikuu kimoja nchini Kenya na kusababis...

Read more » Soma zaidi »

MNYAMA ARARUA MTU NIGERIA, AMPIGA PLATEUA UTD 1-0
MNYAMA ARARUA MTU NIGERIA, AMPIGA PLATEUA UTD 1-0

Mabingwa wa Tanzania  timu ya Simba Novemba 29, imefanikiwa kushinda mchezo wake wa kwanza kwenye michuano ya Ligi ya Mabingwa Afrika ugenin...

Read more » Soma zaidi »

PAPA DIOP AFARIKI DUNIA
PAPA DIOP AFARIKI DUNIA

  Kiungo mkabaji wa zamani wa timu ya taifa ya Senegal Papa Bouba Diop ,42, amefariki dunia leo Paris nchini Ufaransa baada ya kuugua kwa mu...

Read more » Soma zaidi »

MAGAZETI YA LEO JUMATATU 30 NOVEMBA, 2020
MAGAZETI YA LEO JUMATATU 30 NOVEMBA, 2020

Read more » Soma zaidi »
 
Top