} });
 
MATUKIO YA UKATILI WA KIJINSIA SINGIDA SASA HADHARANI
MATUKIO YA UKATILI WA KIJINSIA SINGIDA SASA HADHARANI

  TABIA ya baadhi ya wazazi na walezi kumaliza kesi za ukatili wa kijinsia katika ngazi ya familia badala ya kuzifikisha kwenye vyombo vya s...

Read more » Soma zaidi »

WALIOJIFANYA VIGOGO TANESCO KORTINI KWA UTAPELI
WALIOJIFANYA VIGOGO TANESCO KORTINI KWA UTAPELI

WATU watano wamefikishwa katika Mahakama ya Hakimu Mkazi Kisutu wakikabiliwa na mashtaka 14 likiwemo la kujipatia kiasi cha Sh 365 milioni k...

Read more » Soma zaidi »

TSHISEKEDI KUVUNJA SERIKALI YA MUUNGANO DRC
TSHISEKEDI KUVUNJA SERIKALI YA MUUNGANO DRC

  RAIS  wa Jamhuri ya Demokrasia ya Congo (DRC), Félix Tshisekedi, aweka wazi mpango wake wa kuvunja Serikali ya Muungano ambayo ina wafuasi...

Read more » Soma zaidi »

SVEN AWATAHADHARISHA WACHEZAJI WAKE
SVEN AWATAHADHARISHA WACHEZAJI WAKE

  SVEN Vandenbroeck, Kocha Mkuu wa Simba, amewataka wachezaji wake kucheza kwa tahadhari katika kusaka matokeo ndani ya uwanja kwani wana ki...

Read more » Soma zaidi »

SIMBA! MLISEMA PLATEAU? SASA WALETENI WENGINE
SIMBA! MLISEMA PLATEAU? SASA WALETENI WENGINE

LICHA ya kubwana mbavu nyumbani, lakini imekuwa faida kubwa kwa Simba na kusonga hatua ya kwanza ya michuano ya Ligi ya Mabingwa Afrika msim...

Read more » Soma zaidi »

WENYE UALBINO WATAMANI KUJIAJIRI
WENYE UALBINO WATAMANI KUJIAJIRI

  Umoja wa watu wenye ulemavu wa ngozi (Albino) wanaoishi Kigamboni Dar es Salaam wameeleza matamanio yao ya kujiajiri lakini wanakwamishwa ...

Read more » Soma zaidi »

UCHAGUZI UGANDA 2021:GHASIA BADO ZINAENDELEA UGANDA
UCHAGUZI UGANDA 2021:GHASIA BADO ZINAENDELEA UGANDA

  Bobi Wine ameiambia BBC kuwa yeye na wafuasi wake walishambuliwa tena na polisi alipoenda kufanya kampeni huko Luhuka ,eneo alilokamatwa m...

Read more » Soma zaidi »

BUNGE LA KUWAIT KUWA NA WANAUME PEKEE
BUNGE LA KUWAIT KUWA NA WANAUME PEKEE

  Bunge jipya la Kuwait litakuwa na wanaume pekee baada ya wanawake wote waliogombea kushindwa kwenye uchaguzi wa Jumamosi, hii ikiwa ni baa...

Read more » Soma zaidi »

GONJWA LA AJABU LAJITOKEZA INDIA, WATU 140 WALAZWA
GONJWA LA AJABU LAJITOKEZA INDIA, WATU 140 WALAZWA

  MAOFISA nchini India wanachunguza ugonjwa ambao haujafahamika uliosababisha zaidi ya watu 140 kulazwa mwishoni mwa wiki hii. Wagonjwa hao ...

Read more » Soma zaidi »

MAHAKAMA YATENGUA HUKUMU YA KINA MWANA FA, AY
MAHAKAMA YATENGUA HUKUMU YA KINA MWANA FA, AY

MAHAKAMA Kuu, Dar es Salaam, imetengua hukumu iliyoiamuru kampuni ya simu za mkononi MIC (T) Limited, maarufu Tigo, kuwalipa wanamuziki wa k...

Read more » Soma zaidi »

VIDEO: MWANAJESHI ALIYEMPIGA REFA ASHUGHULIKIWA NA POLISI
VIDEO: MWANAJESHI ALIYEMPIGA REFA ASHUGHULIKIWA NA POLISI

  Askari wa Jeshi la Wananchi Tanzania (JWTZ) anayedaiwa kumpiga mwaamuzi Fadhil Maka aliyekuwa akichezesha mchezo kati ya Pamba FC na Rhino...

Read more » Soma zaidi »

MWILI WA MAREHEMU WAPOTEA KWENYE JENEZA, WAKUTWA NYUMBANI
MWILI WA MAREHEMU WAPOTEA KWENYE JENEZA, WAKUTWA NYUMBANI

WANANCHI wa Kijiji cha Kona Nne Wilaya ya Kaliua mkoani wa Tabora wameshangazwa na kurejea kwa mwili wa marehemu aliyefariki kwao na kusafir...

Read more » Soma zaidi »

WAFANYAKAZI 4 CHUO KIKUU WASIMAMISHWA KAZI KISA SUAREZ
WAFANYAKAZI 4 CHUO KIKUU WASIMAMISHWA KAZI KISA SUAREZ

  MSHAMBULIAJI wa kimataifa wa Uruguay, Luis Suarez, amewaponza wafanyakazi wanne wa chuo kikuu cha Perugia nchini Italia, ambao wanashukiwa...

Read more » Soma zaidi »

KUKU ALIYEZALIWA NA MWANAMKE KIGOMA KUCHUNGUZWA
KUKU ALIYEZALIWA NA MWANAMKE KIGOMA KUCHUNGUZWA

Kamanda wa Polisi Mkoa wa Kigoma, James Manyama. POLISI Mkoa wa Kigoma limesema kuku aliyezaliwa na  mwanamke mkoani humo, atapelekwa kwenye...

Read more » Soma zaidi »

UNYWAJI MAZIWA YASIYOCHEMSHWA HATARI KWA UGONJWA WA 'KIFUA KIKUU'
UNYWAJI MAZIWA YASIYOCHEMSHWA HATARI KWA UGONJWA WA 'KIFUA KIKUU'

  Mratibu wa Kifua Kikuu na Ukoma kutoka Hospitali ya Wilaya ya Tunduru Mkoani Ruvuma, Dkt.Mkasange Kihongole amewaasa wananchi kuacha tabia...

Read more » Soma zaidi »

TRUMP ANASTAHILI KUPELEKWA JELA BAADA YA KUONDOKA IKULU - MARY
TRUMP ANASTAHILI KUPELEKWA JELA BAADA YA KUONDOKA IKULU - MARY

Mpwa wa Rais Donald Trump wa Marekani amesema, Rais huyo ni mhalifu, katili na haini na kwamba jela ndipo mahali anapostahili kupelekwa baad...

Read more » Soma zaidi »

WADAU WAOMBA MAREKEBISHO KUFUTA DHAMANA MATUKIO YA UBAKAJI, ULAWITI, MIMBA CHINI YA MIAKA 18
WADAU WAOMBA MAREKEBISHO KUFUTA DHAMANA MATUKIO YA UBAKAJI, ULAWITI, MIMBA CHINI YA MIAKA 18

Mkurugenzi Mtendaji wa Halmashauri ya Ikungi, Justice Kijazi kwenye kikao hicho. MATUKIO ya ukatili mkoani hapa yameendelea kuumiza vichwa v...

Read more » Soma zaidi »

BILIONI 7.4 ZATUMIKA KUING’ARISHA HALMASHAURI YA MANISPAA YA MPANDA
BILIONI 7.4 ZATUMIKA KUING’ARISHA HALMASHAURI YA MANISPAA YA MPANDA

Muonekano wa Sehemu ya Barabara ya Kikoti yenye urefu wa Km 7.7 iliyojengwa chini ya mradi wa uimarishaji wa Halmashauri za Miji (ULGSP), ka...

Read more » Soma zaidi »

SAKATA LA MEMBE KUDAIWA KUONDOKA ATC-WAZALENDO
SAKATA LA MEMBE KUDAIWA KUONDOKA ATC-WAZALENDO

  BAADA ya kusambaa kwa taarifa mitandaoni zinazodai kwamba aliyekuwa mgombea urais wa chama cha ACT-Wazalendo, Bernard Membe, kuwa atajitoa...

Read more » Soma zaidi »

VIDEO: MWANAMKE AJIFUNGUA KUKU KIGOMA
VIDEO: MWANAMKE AJIFUNGUA KUKU KIGOMA

MWANAMKE mmoja wilayani Uvinza mkoani Kigoma, amejifungua kuku katika kituo cha Afya Uvinza baada ya kufika kituoni hapo akidai anapata maum...

Read more » Soma zaidi »

RAIS MWINYI AMTEUA MAALIM SEIF
RAIS MWINYI AMTEUA MAALIM SEIF

Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi, Dkt. Hussein Mwinyi amemteua Maalim Seif Sharif Hamad kuwa Makamu wa Kwanza wa Rais Z...

Read more » Soma zaidi »

KOCHA WA PLATEAU UNITED ATUHUMU SIMBA KUFANYA HUJUMA
KOCHA WA PLATEAU UNITED ATUHUMU SIMBA KUFANYA HUJUMA

Kocha wa Plateau United ya Nigeria baada ya kuondolewa na Simba SC katika michuano ya Ligi ya Mabingwa Afrika amelia na hujuma anazodai wali...

Read more » Soma zaidi »

ACT WAZALENDO YAKUBALI SERIKALI YA UMOJA WA KITAIFA ZANZIBAR
ACT WAZALENDO YAKUBALI SERIKALI YA UMOJA WA KITAIFA ZANZIBAR

Kamati Kuu ya Chama cha ACT-Wazalendo imeielekeza Kamati ya Uongozi ya chama hicho kupendekeza jina la mwanachama atakayekuwa Makamu wa Kwan...

Read more » Soma zaidi »

TRUMP AMSHINIKIZA GAVANA WA GEORGIA KUPINDUA MATOKEO
TRUMP AMSHINIKIZA GAVANA WA GEORGIA KUPINDUA MATOKEO

  Rais wa Marekani  Donald Trump   amemshinikiza Gavana wa Republican wa Jimbo la Georgia kumsaidia kupindua ushindi wa Rais mteule Joe Bide...

Read more » Soma zaidi »

MAHAKAMA MISRI YAFUTA KESI DHIDI YA MASHIRIKA 20 YASIYO YA KISERIKALI
MAHAKAMA MISRI YAFUTA KESI DHIDI YA MASHIRIKA 20 YASIYO YA KISERIKALI

Mahakama ya Rufaa nchini Misri imeagiza uchunguzi wa muda mrefu wa Mashirika 20 yasiyo ya Serikali (NGOs) yanayotuhumiwa kupokea fedha kinyu...

Read more » Soma zaidi »

MSOMALI AFIKISHWA MAHAKAMANI KWA KUSAFIRISHA BINADAMU
MSOMALI AFIKISHWA MAHAKAMANI KWA KUSAFIRISHA BINADAMU

  Mtu mmoja raia wa Somalia amepandishwa kizimbani katika mahakama ya Hakimu mkazi kisutu kwa kosa la kuwasafirisha raia saba wa Ethiopia ku...

Read more » Soma zaidi »

MFANYAKAZI WA TANESCO APANDISHWA KIZIMBANI KWA KUHUJUMU MRADI SGR
MFANYAKAZI WA TANESCO APANDISHWA KIZIMBANI KWA KUHUJUMU MRADI SGR

Mfanyakazi wa TANESCO mkazi wa Kibaha kwa Mathias Mkoani Pwani amefikishwa katika mahakama ya Hakimu mkazi Kisutu Jijini Dar es Salaam ikiwe...

Read more » Soma zaidi »

JAJI MSTAAFU HAROLD NSEKELA AFARIKI DUNIA, MAGUFULI ASIKITIKA
JAJI MSTAAFU HAROLD NSEKELA AFARIKI DUNIA, MAGUFULI ASIKITIKA

  Jaji Mstaafu wa Mahakama ya Rufani ya Tanzania na Kamishna wa Sekretarieti ya Maadili ya Viongozi wa Umma Mhe. Harold Nsekela amefariki du...

Read more » Soma zaidi »

MAGAZETI YA LEO JUMATATU 07 DISEMBA, 2020
MAGAZETI YA LEO JUMATATU 07 DISEMBA, 2020

Read more » Soma zaidi »
 
Top