WAKATI dirisha dogo la usajili Tanzania Bara likikaribia, si ajabu kwa majembe matatu ya Plateau United kutua Simba baada ya kocha mkuu wa...
Divine Radio Live
NDUGAI KUWAAPISHA WABUNGE WAWILI WALIOTEULIWA NA JPM
Spika wa Bunge, Job Ndugai leo Desemba 8, 2020 atawaapisha Wabunge wawili walioteuliwa na Rais Magufuli Desemba 5, 2020 katika Viwanja vya B...
KISA KAGERE, MO AMVAA SVEN
MWENYEKITI wa Bodi ya Wakurugenzi ya Simba na mwekezaji wa timu hiyo, Mohamed Dewji ‘Mo’, amesema licha ya timu yake kufanikiwa kutinga ha...
DK MWINYI AWATEUA MAZRUI, OMAR KUWA WAJUMBE BARAZA LA WAWAKILISHI
Rais wa Zanzibar, Dk Hussein Ali Mwinyi amemteua naibu katibu mkuu wa ACT-Wazalendo, Nassor Ahmed Mazrui na mwanasheria mkuu wa chama hich...
“CHINA SIYO MASKINI TENA” XI JINPING
Rais Xi Jinping wa China amesema, baada ya juhudi za miaka minane, China imetimiza lengo la kutokomeza umaskini katika zama mpya kwa wakat...
TRUMP AAMURU KUONDOLEWA JESHI LA MAREKANI NCHINI SOMALIA
Rais Donald Trump wa Marekani ameiamuru Wizara ya Ulinzi wa Taifa na Makao Makuu ya Marekani barani Afrika AFRICOM kuondoa kikosi cha Mareka...
ALIEKIUKA MASHARTI YA CORONA APIGWA FAINI MILIONI 8
Serikali ya Taiwan imemtoza faini ya USD 3500 (zaidi ya Tsh. milioni 8) Mwanaume mmoja kutoka Ufilipino kwa kosa la kuvunja masharti ya coro...
VIDEO: USALAMA WA TAIFA FEKI WAWILI WAKAMATWA MWANZA
Polisi Mwanza wamewakamata Watu wawili wanaojifanya wanatoka Idara ya Usalama wa Taifa Kitengo cha Kikosi Maalum na undercover Usalama wa ...
KILA MKOA KUWA NA BEI YAKE YA SARUJI
Waziri Mkuu Kassim Majaliwa, ameiagiza Wizara ya Viwanda na Biashara ikamilishe utaratibu wa kuwa na bei kikomo ya saruji ili kuuwezesha k...
WAITARA AWATAKA WANAFUNZI KUSOMA KWA BIDII,AMSHUKURU RAIS MAGUFULI KUMTEUA KUWA NAIBU WAZIRI
Mbunge wa jimbo la Tarime vijijini Mwita Waitara akizungumza na wanafunzi wa shule ya Sekondari Kebogwe kata ya Binagi. Mbunge wa Jimbo la T...