Mtu mmoja aliyefahamika kwa jina la Katarina Zebedayo (38) mkazi wa Kijiji cha Kabanga Kata ya Ilangu, Wilaya ya Tanganyika Mkoa wa Katavi a...
MAJALIWA AMUOMBEA NAFASI YA PILI ALIYESHINDWA KUAPA
“Wizara sasa imepata watu ambao wanaifahamu, eneo hili mh rais sio eneo la mzaha mzaha sana, kwa hiyo yaliyotokea juzi siyo tu Lindi bali ...
KAULI YA NDUGAI KWA WABUNGU WATEULE WA ACT WAZALENDO AMBAO HAWAJAAPISHWA
Spika wa Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Job Ndugai amemuapisha Prof. Shukrani Manya kuwa mbunge rasmi huku akitoa wito kwa wabun...
VIDEO: SABAYA AMBANANISHA KIGOGO ALIECHUKUA HELA ZA WALIMU, WANATOA MAMILIONI HAZIRUDI
Mkuu wa Wilaya ya Hai Lengai Ole Sabaya amemuweka ndani Mtumishi wa Serikali katika Manispa ya Moshi kwa tuhuma za kujihusisha na utapeli. D...
DRC: WABUNGE WAMUONDOA SPIKA
Spika wa bunge la DRC, Jeanine Mabunda ameondolewa katika nafasi yake baada ya Wabunge kupiga kura ya maoni dhidi yake iliyowasilishwa bun...
KIUNGO WA PLATEAU UNITED AFUNGUKA NAKUJA YANGA
KAULI aliyoitoa kiungo fundi wa Plateau United ya Nigeria, Isah Ndala akisema amekubali kutua Yanga endapo klabu hiyo itafuata taratibu zote...
WAWILI MBARONI KWA TUHUMA ZA WIZI ZAIDI YA MIL. 100
WATU wawili wamefikishwa kwenye Mahakama ya Hakimu Mkazi Kisutu jijini Dar es Salaam, kwa tuhuma kuibia kampuni ya Diamond Motors kiasi cha ...
KOCHA SIMBA AFUNGUKA SABABU ZA KUMPANGA KAGERE
KOCHA Mkuu wa Simba, Mbelgiji Sven Vandenbroeck amefunguka sababu ya kubadili kikosi chake cha kwanza kwa kuwatumia wachezaji wengi ambao ha...
WAHUDUMU WA NDEGE WATAKIWA KUVAA DIAPERS
Mamlaka ya anga ya China imezua mijadala baada ya kutoa maelekezo ya njia nyingine za kupambana na corona kwa kushauri Wahudumu wa Ndege was...
IGP SIRRO ALIVYOTEKELEZA MAAGIZO YA RAIS MAGUFULI
Inspekta Jenerali wa Polisi (IGP) Simon Sirro ametekeleza agizo la Rais John Magufuli la kuwaondoa katika vituo vyao vya kazi, Askari Poli...
MKURUGENZI ASIMAMISHWA KAZI NA WAZIRI JUMAA AWESO
Mkurugenzi wa Maji Safi na Usafi wa Mazingira Dodoma (DUWASA), David Palangyo amekuwa wa kwanza kuonja joto ya jiwe baada ya kusimamishw...
MFANYABIASHARA DAR AJIUA KWA MSONGO WA MAWAZO
POLISI Kanda Maalum ya Dar es Salamaam imesema mfanyabiashara aliyefahamika kwa jina la Nasir Shabani (51) amejiua kwa kujipiga risasi kwa k...
RAIS MAGUFULI ATEUA MBUNGE NA KUMPA UNAIBU WAZIRI
Rais wa Jamhuri ya Mungano wa Tanzania, Dkt. John Pombe Magufuli amemteua Prof. Shukrani E. Manya kuwa Naibu Waziri wa Madini. Prof. Manya p...
ASKARI WAWILI NA WAFANYABIASHARA WAFUNGULIWA MASHTAKA KUTOROSHA DHAHABU
Polisi wawili na wafanyabiashara wakubwa wa madini wawili na mchimbaji mdogo wa madini mmoja, wamefunguliwa mashtaka kwa tuhuma za kutorosha...
MWIGIZAJI TOMMY AFARIKI DUNIA
Mwigizaji Tommy Lister maarufu ‘Tiny’ amefariki dunia, imeripotiwa kwamba alikutwa akiwa na hali mbaya kwenye apartment aliyokua anaishi na ...
MAALIM SEIF AKATAA KUITWA MSALITI
MAKAMU wa kwanza wa Rais Zanzibar, Maalim Seif Sharif Hamad, amesema uamuzi wa ACT-Wazalendo na yeye kuridhia kujiunga na Serikali ya Umoj...
CHINA YAMUAJIRI JAJI MKUU MSTAAFU WA UGANDA
Mahakama ya Juu zaidi nchini China imemteua Mwanasheria Mkuu wa zamani wa Uganda, Bart Katureebe, kama mwanachama wa jopokazi la wataala...