} });
 

MAHAKAMA YA MAFISADI YAAHIRISHA HUKUMU YA KIBOKO NA MKEWE
MAHAKAMA YA MAFISADI YAAHIRISHA HUKUMU YA KIBOKO NA MKEWE

Mahakama Kuu Divisheni ya Makosa ya Rushwa na Uhujumu Uchumi maarufu Mahakama ya Mafisadi, imeahirisha kutoa hukumu katika kesi ya uhujumu u...

Read more » Soma zaidi »

RAIS MAGUFULI ATOA SALAMU ZA RAMBIRAMBI KWA WALIOPATA AJALI SINGIDA
RAIS MAGUFULI ATOA SALAMU ZA RAMBIRAMBI KWA WALIOPATA AJALI SINGIDA

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, John Magufuli, ametuma salamu za rambirambi kwa familia za Watu 14 waliofariki kwenye ajali ya bara...

Read more » Soma zaidi »

MAHAKANI KWA MAKOSA YA KUKATA NOTI WAKIWA BOT
MAHAKANI KWA MAKOSA YA KUKATA NOTI WAKIWA BOT

Baadhi ya watuhumiwa waliofikishwa mahakamani Kisutu. WALIOKUWA watumishi  13  Benki Kuu ya Tanzania (BOT)  wamefikishwa katika Mahakama ya ...

Read more » Soma zaidi »

ITALIA NDIYO NCHI YENYE IDADI KUBWA YA VIFO VYA CORONA ULAYA
ITALIA NDIYO NCHI YENYE IDADI KUBWA YA VIFO VYA CORONA ULAYA

  Italia imeipiku Uingereza na sasa ndilo taifa lenye idadi kubwa ya vifo vinavyotokana na virusi vya corona barani Ulaya. Hapo jana nchi hi...

Read more » Soma zaidi »

REDIO KIJAMII ZAASWA KUZINGATIA MAADILI YA UTANGAZAJI
REDIO KIJAMII ZAASWA KUZINGATIA MAADILI YA UTANGAZAJI

Redio za kijamii zimeaswa kufanya kazi kwa ufanisi sambamba na kuzingatia maadili ya utangazaji hasa katika kipindi hiki cha kidigitali. Aki...

Read more » Soma zaidi »

MAGARI YA ANGANI KUFUNGWA MLIMA KILIMANJARO
MAGARI YA ANGANI KUFUNGWA MLIMA KILIMANJARO

SERIKALI a imeruhusu ufungwaji wa magari yanayotumia nyaya angani (cable cars) katika Mlima Kilimanjaro, mlima mrefu zaidi barani Afrika ili...

Read more » Soma zaidi »

LIVE: LUHAGA MPINA AKIKABIDHI OFISI KWA WAZIRI MPYA WA MIFUGO NA UVUVI
LIVE: LUHAGA MPINA AKIKABIDHI OFISI KWA WAZIRI MPYA WA MIFUGO NA UVUVI

 

Read more » Soma zaidi »

SEKESEKE KUNG’OLEWA SPIKA DRC LAFIKA PABAYA
SEKESEKE KUNG’OLEWA SPIKA DRC LAFIKA PABAYA

MUUNGANO wa vyama vya kisiasa wa FCC wa aliyekuwa rais wa Congo (DR), Joseph Kabila, umekiri kuwa kung’olewa kwa, Jeanine Mabunda kwenye wad...

Read more » Soma zaidi »

WAZIRI MKUU WA ESWATINI AFARIKI KWA CORONA
WAZIRI MKUU WA ESWATINI AFARIKI KWA CORONA

  SERIKALI  ya  Eswatini  imesema Waziri Mkuu wa nchi hiyo, Ambrose Dlamini, amefariki dunia, wiki nne baada ya kupatikana na virusi vya cor...

Read more » Soma zaidi »

ROBINHO JELA MIAKA 9 KWA KUBAKA
ROBINHO JELA MIAKA 9 KWA KUBAKA

  ALIYEKUWA mshambuliaji nyota wa vilabu vya  AC Milan, Real Madrid  na timu ya taifa ya  Brazil Robinho,  amehukumiwa kufungwa miaka tisa j...

Read more » Soma zaidi »

MCHUNGAJI ASHAMBULIWA NA NYOKA AKIKEMEA MAPEPO
MCHUNGAJI ASHAMBULIWA NA NYOKA AKIKEMEA MAPEPO

Hali ya kutatanisha imezuka Kasikeu, Makueni nchini Kenya wakati Pasta aliyeitwa kuwakemea mapepo aliposhambuliwa na nyoka katika nyumba ya ...

Read more » Soma zaidi »

LIL WAYNE JELA MIAKA 10 KUKUTWA BASTOLA, MADAWA YA KULEVYA
LIL WAYNE JELA MIAKA 10 KUKUTWA BASTOLA, MADAWA YA KULEVYA

RAPA Lil Wayne amekutwa na hatia ya kubeba bunduki iliyokuwa imekokiwa mwaka 2019 akipanda Ndege binafsi huko Miami.   Alikutwa pia na bundu...

Read more » Soma zaidi »

MTOTO WA JAY-Z NA BEYONCE ATAJWA TUZO ZA GRAMMY
MTOTO WA JAY-Z NA BEYONCE ATAJWA TUZO ZA GRAMMY

MTOTO wa Jay-Z na Beyonce, Blue Ivy Carter ametajwa kuwania tuzo za Grammy. Blue Ivy mwenye umri wa miaka 8, amepata nomination yake ya kwan...

Read more » Soma zaidi »

OKWI AKUTWA NA CORONA
OKWI AKUTWA NA CORONA

EMMANUEL Okwi mshambuliaji wa kikosi cha Al-Ittihad ya Misri amekutwa na Virusi vya Corona hivyo atakosa mechi kadhaa ndani ya Ligi Kuu ya M...

Read more » Soma zaidi »

BITEKO ATUMBUA 4, AFUTA LESENI 6 ZA MADINI, ASWEKA NDANI 13
BITEKO ATUMBUA 4, AFUTA LESENI 6 ZA MADINI, ASWEKA NDANI 13

  WAZIRI wa Madini, Dotto Biteko amemvua madaraka Mwenyekiti wa Soko la Madini Chunya na kuwasimamisha kazi watumishi watatu, kufuta leseni ...

Read more » Soma zaidi »

POLISI 9 JELA KWA MAUAJI
POLISI 9 JELA KWA MAUAJI

  Mahakama moja nchini Misri imewahukumu kifungo cha miaka mitatu maafisa tisa wa polisi kwa kosa la kumtesa na kupelekea kifo cha mchuuzi m...

Read more » Soma zaidi »

“THIERRY HENRY GHAFLA ALIZIMA TV” EVRA
“THIERRY HENRY GHAFLA ALIZIMA TV” EVRA

Mchezaji wa zamani wa Man United Patrice Evra amefunguka kuwa Mchezaji mwenzake wa Ufaransa na legend wa Arsenal Thierry Henry aliwahi kumua...

Read more » Soma zaidi »

MWANDISHI WA HABARI ANYONGWA IRAQ
MWANDISHI WA HABARI ANYONGWA IRAQ

Iran siku ya Jumamosi imemnyonga mwandishi wa blogu na mkosoaji mkubwa wa Serikali ya Tehran, Ruhollah Zam licha ya mara kadhaa kuomba kupew...

Read more » Soma zaidi »

14 WAFARIKI KATIKA AJALI
14 WAFARIKI KATIKA AJALI

Watu 14 wamepoteza maisha na wengine 13 wamejeruhiwa katika ajali iliyotokea maeneo ya Kiini cha Mkiwa mkoani Singida iliyohusisha gari ndog...

Read more » Soma zaidi »

FESTO AKAMATWA AKIDAIWA KUMUUA MCHEPUKO WAKE NA MTOTO
FESTO AKAMATWA AKIDAIWA KUMUUA MCHEPUKO WAKE NA MTOTO

  Jeshi la Polisi mkoani Kagera linamshikilia mtu mmoja Festo Venance mwenye umri wa miaka 38 kwa tuhuma za kuwaua watu wawili na kumjeruhi ...

Read more » Soma zaidi »
 
Top