MZAZI mmoja mkazi wa kijiji cha Ilanga, kata ya Mlale, iliyopo wilaya ya Ileje mkoa wa Songwe, amegoma kumpeleka mwanaye kujiunga na kidato ...
BARBARA: KESI YA YANGA NA MORRISON BADO IPO
OFISA Mtendaji Mkuu wa Klabu ya Simba, Barbara Gonzalez amethibitisha kuwepo kwa kesi kati ya Klabu ya Yanga na mchezaji wao, Bernard Morr...
UTATA KIFO CHA DEREVA WA LORI MBEYA, RC AZUIA MWILI KUZIKWA
Mkuu wa Mkoa wa Mbeya, Bw.Albert Chalamila ameunda kamati huru ili kuchunguza kifo cha dereva wa lori, Abdulrahaman Issa ambaye video yake i...
ZAIDI YA MIFUKO 100 YA SARUJI KUMALIZA UJENZI VYMBA VYA MADARASA GEITA
Halmashauri ya wilaya ya Geita imeanza kugawa mifuko zaidi ya mia moja ya saruji katika kila kata ili kuhakikisha ujenzi wa vyumba vya madar...
JPM AAGIZA KUFUATILIWA DAKTARI ALIYEACHA KAZI KWA MADAI YA MASLAHI
Rais Dkt.John Magufuli amemuagiza Waziri wa Afya Dkt. Dorothy Gwajima, kumfuatilia daktari aliyeacha kazi katika hospitali ya rufaa mkoa w...
WATAALAM WHO WATOKA KARANTINI
Timu ya Wataalamu wa Shirika la Afya Duniani (WHO) imetoka kwenye karantini katika mji wa Wuhan nchini China ili kuanza uchunguzi wake wa ...
MOSTAFA MOHAMED KUTIMKIA GALATASARAY
Klabu ya Zamalek SC ya MIsri imethibitisha kuwa mshambuliaji wao nyota, Mostafa Mohamed yuko katika hatua nzuri za kujiunga na miamba ya j...
BUMBULI: NILILIPA FAINI NA PAY SLIP NILIPELEKA TFF
Baada ya kuadhibiwa na Shiriksho la soka nchini TFF kupitia kamati za Maadili na Nidhamu kwa kufungiwa miaka mitatu kujihusisha na masual ya...
BIDEN KUSITISHA MAUZO YA SILAHA UAE NA SAUDI ARABIA
Utawala wa Rais Joe Biden umesitisha kwa muda uuzaji wa silaha kwa mataifa ya Ghuba. Hatua hii inazuia mabilioni ya dola kwa mauzo ya sila...
WAZIRI BASHUNGWA: KARIBUNI TUBURUDIKE TAMASHA LA SERENGETI DODOMA
Tamasha la pili la Muziki nchini la Serengeti (Serengeti Music Festival) linatarajiwa kufanyika Februari 06, 2021 Uwanja wa Jamhuri jijini D...
SENZO ATAJA SABABU YA KUMPA UKOCHA NIZAR
MSHAURI Mkuu wa Klabu ya Yanga kuelekea kwenye mfumo wa mabadiliko, Senzo Mazingisa amesema kuwa wameamua kuwaongeza vijana ndani ya timu il...
TFF YASAINI MKATABA WA KUKUZA MIUNDOMBINU YA SOKA
SHIRIKISHO la Soka la Tanzania (TFF) limesaini mkataba wa makubaliano ya ushirikiano wa maendeleo ya kukuza miundombinu ya soka na Chuo ch...
JPM AIPANDISHA HADHI KAHAMA
RAIS John Magufuli ameipandisha hadhi Halmashauri ya Kahama Mji kuwa Manispaa ambapo sasa Kahama Mji itajulikana kama Manispaa ya Kahama. ...
NEMC MSIFANYE KAZI YA UPOLISI – WAZIRI UMMY MWALIMU
Waziri wa Nchi Ofisi ya Makamu wa Rais (Muungano na Mazingira), Ummy Mwalimu akifafanua jambo wakati wa kikao cha kupokea na kujadili taarif...
MAJALIWA AFANYA KIKAO NA MACHINGA
WAZIRI MKUU, Kassim Majaliwa Alhamisi, Januari 28, 2021 amefanya kikao na Viongozi wa Wamachinga Tanzania katika Kituo cha Mikutano cha Ki...
WHO YAITAKA TANZANIA KUJIANDAA KUPOKEA CHANJO YA CORONA
IKIWa ni siku moja tu tangu Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. John Magufuli kutaka Wizara ya Afya kutokukimbilia chanjo ya Coron...
MWALIMU WA KIKE JELA KWA KUFANYA NGONO NA MWANAFUNZI WAKE
MWALIMU ambaye ni mke wa mtu amekutwa na hatia baada ya kukutwa na hatia ya kumshawishi mwanafunzi wake wa kiume mwenye umri wa miaka 15 kuj...
SERIKALI YASEMA UZALISHAJI WA SUKARI UMEONGEZEKA KWA MIAKA MITANO
Waziri wa Kilimo. Prof. Adolf Mkenda amesema, Uzalishaji wa Sukari umeongezeka kutoka tani 295,775 mwaka 2015/2016 hadi tani 377,527 zinazot...
WAZIRI UGANDA ASHINDWA ELEZA WALIPOPELEKWA WALIOKAMATWA NA WANAJESHI
Waziri wa Mambo ya Ndani wa Uganda, Jenerali Jeje Odongo amesema, anashindwa kueleza mahali walipopelekwa watu waliochukuliwa na Wanajeshi k...
MKURUGENZI WHO KUKUTANA NA MAWAZIRI WA AFRIKA
Mawaziri wa Afya na Fedha wa Bara la Afrika wanatarajia kukutana na Mkurugenzi Mkuu wa Shirika la Afya duniani (WHO), Dk. Tedros Ghebreyes...
AMUUA MKEWE KWA KUMTWANGA NA MTWANGIO
Mwanamke mmoja aliyetambulika kwa jina la Paulina Daud (30) mkazi wa Mageuzi kata ya Ndembezi Manispaa ya Shinyanga amefariki dunia baada ya...
VIDEO: MAGUFULI AMSAMEHE MKURUGENZI ALIENUNUA GARI LA MILIONI 400
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dr. John Pombe Magufuli ameipandisha hadhii Halmashauri ya Kahama Mji kuwa Manispaa ambapo sasa Ka...
UWEKAJI WA JIWE LA MSINGI VIWANDA VYA NAFAKA MAZIWA NA VINYWAJI
Mhe. Rais Dkt. John Pombe Magufuli akifungua miradi ya maendeleo, Ujenzi wa jengo la Halmashauri ,Ujenzi wa Jengo la OPD la hospital ya wi...
UWEKAJI WA JIWE LA MSINGI UJENZI WA JENGO LA OPD HOSPITAL YA WILAYA KAHAMA
Mhe. Rais Dkt. John Pombe Magufuli akifungua miradi ya maendeleo, Ujenzi wa jengo la Halmashauri ,Ujenzi wa Jengo la OPD la hospital ya wi...
UWEKAJI WA JIWE LA MSINGI UJENZI WA OFISI YA MAKAO MAKUU YA HALMASHAURI YA KAHAMA
Mhe. Rais Dkt. John Pombe Magufuli akifungua miradi ya maendeleo, Ujenzi wa jengo la Halmashauri , Ujenzi wa Jengo la OPD la hospital ya w...
WANAOFANYA MAPENZI KINYUME NA MAUMBILE HATARINI ZAIDI KUPATA UKIMWI
Tume ya Taifa ya Kudhibiti UKIMWI (TACAIDS) imetaja makundi yaliyo hatarini kupata Virusi vya UKIMWI ambayo ni pamoja na wanaofanya ngono ...
BIDEN, PUTIN WAJADILI UHUSIANO WA MAREKANI, URUSI
RAIS wa Marekani Joe Biden amezunguza kwa njia ya simu na mwenzake wa Urusi, Vladimir Putin, na kujadili masuala kadhaa ikiwemo mkataba wa k...
KAKAKUONA AONEKANA MVOMERO, ATABIRI NEEMA
MNYAMA Kakakuona ameonekana Wami Sokoine, Wilaya ya Mvomero ambapo Viongozi wa Kimila na Kidini walimtumia ili aweze kutabiri hali ya mwak...
NDUGULILE AJIKITA KUTATUA CHANGAMOTO ZA MAWASILIANO YA SIMU NA DATA
Waziri wa Mawasiliano na Teknolojia ya Habari Dkt. Faustine Ndugulile amesema kuwa Serikali kupitia Wizara yake inashirikiana na wadau wa se...
VIDEO: WEZI WA NYANYA ZA UMEME ZA TANESCO WAKAMATWA “WANAENDA KUUZA KIWANDANI”
Polisi Kigoma wanawashikilia Watu watatu kwa tuhuma za wizi wa nyaya za umeme mali ya TANESCO zenye thamani ya Tsh. Milioni 24 wanazotuhum...
THOMAS TUCHEL AKABIDHIWA ‘FUPA’ LILILOMSHINDA LAMPARD
Klabu ya Chelsea imemtangaza meneja kutoka nchini Ujerumani Thomas Tuchel kuchukua jukumu la kuwa mkuu wa Benchi la Ufundi la klabu hiyo ina...
WAFUGAJI, WAFANYABIASHARA WAILILIA SERIKALI VIFO VYA NGURUWE (+PICHA)
Wafugaji na wafanyabiashara wa nguruwe na mazao yake wanaofanya shughuli zao Wilayani Kahama, Mkoani Shinyanga wameiomba Serikali kuendele...
ANASWA AIRPORT AKISAFIRISHA SHEHENA YA VINYONGA
MWANAMME mwenye umri wa miaka 56 ambaye hakutambuliwa zaidi amekamatwa na mamlaka nchini Austria katika uwanja wa ndege wa Vienna akiwa an...
LIVE: RAIS MAGUFULI ANAZINDUA SHAMBA LA MITI WILAYANI CHATO MKOANI GEITA
RAIS Dkt John Magufuli, leo Januari 27, anazindua shamba la miti lililopo wilayani Chato mkoani Geita.
WAZIRI MWAMBE ATOA ONYO MAWAKALA KUPANDISHA BEI YA MAFUTA
Serikali imesema itawafutia leseni wafanyabiashara wote watakaongeza bei ya mafuta ya kula tofauti na bei halisi inayoendana na ghrama za ...
NIZAR KHALFAN KOCHA MSAIDIZI YANGA
Klabu ya Yanga imemtangaza rasmi mchezaji wake wa zamani na kocha wa African Lyon, Nizar Khalfan kuwa kocha wao msaidizi akiziba pengo lilil...