} });
 

 

Bunge la ‘Congress’ la nchini Marekani limemzawadia rais mpya wa nchi hiyo, Joe Biden cheti maalum cha ushindi baada ya kupata kura 270 na kuthibitishwa kuwa rais wa 46 wa Marekani kuanzia Januari 20 mwaka huu.

Hafla hiyo imefanyika ikiwa ni saa moja tangu wafuasi wa Donald Trump walipovamia bunge hilo kisha kufanya vurugu zilizopelekea vifo vya watu wanne na kujeruhi zaidi ya 50.

soma habari kila siku kazi yetu ni kuhakikisha unapata unachotaka +255 769 305 957 #NURU YA KRISTO INAKUANGAZIA

Facebook Blogger Plugin by TeachMaker

Post a Comment

 
Top