} });
 

 

KIPA namba moja wa Simba, Aishi Manula ambaye ni kipa bora kwa msimu wa 2019/20, msimu huu wa 2020/21 amewaingiza vitani, Daniel Mgore na Metacha Mnata.

Mgore anayeidakia Biashara United, amekaa langoni mechi 15 kati ya 17, amekusanya clean sheet 10 na kuruhusu mabao 10.

 

Kwa upande wa Metacha, ameidakia Yanga mechi 17 kati ya 18, amekusanya clean sheet 11 akiwa ameruhusu mabao sita.

 

Hizi hapa clean sheet za Mgore; Biashara 1-0 Gwambina, Biashara 1-0 Mwadui, Ruvu 0-0 Biashara United,Biashara 1-0 Mtibwa Sugar, Coastal 3-0 Biashara United, Polisi 0-1 Biashara United. Namungo 0-0 Biashara United, Biashara 3-0 Mbeya City, Biashara 2-0 Prisons na Gwambina 0-1 Biashara United.Mechi alizoruhusu mabao ni; Simba 4-0 Biashara, Biashara 0-1 Yanga, Biashara 1-1 KMC, Dodoma Jiji 1-1 Biashara United na Kagera Sugar 3-0 Biashara United.

 

Clean sheet za Metacha ni; Yanga 1-0 Mbeya City, Kagera Sugar 0-1 Yanga, Mtibwa Sugar 0-1 Yanga, Yanga 3-0 Coastal Union, Yanga 1-0 Polisi Tanzania, Biashara United 0-1 Yanga, Gwambina 0-0 Yanga, Ihefu 0-3 Yanga, Mwadui 0-5 Yanga, Yanga 1-0 JKT Tanzania na Azam 0-1 Yanga.

 

Metacha aliruhusu mabao katika mechi hizi; KMC 1-2 Yanga, Yanga 1-1 Simba, Yanga 1-1 Namungo FC, Prisons 1-1 Yanga, Yanga 3-1 Dodoma Jiji na Yanga 2-1 Ruvu Shooting.

soma habari kila siku kazi yetu ni kuhakikisha unapata unachotaka +255 769 305 957 #NURU YA KRISTO INAKUANGAZIA

Facebook Blogger Plugin by TeachMaker

Post a Comment

 
Top