} });
 

 

Kwa mujibu wa taarifa iliyotolewa na Shirika la Reli Tanzania (TRC) leo Januari 3, 2021, kuhusu ajali ya treni iliyotokea Dodoma, majeruhi ni 66 na waliofariki ni watatu. Kati ya hao watatu mmoja ni mtoto na watu wazima wawili.

Januari 02, 2021 majira ya jioni ilitokea ajali ya treni ya abiria kati ya maeneo ya Itigi, Singida na Bahi, Dodoma.

Majeruhi walipelekwa hospitali na abiria wengine wakafanyiwa utaratibu wa kuendelea na safari zao kwa njia ya mabasi.

soma habari kila siku kazi yetu ni kuhakikisha unapata unachotaka +255 769 305 957 #NURU YA KRISTO INAKUANGAZIA

Facebook Blogger Plugin by TeachMaker

Post a Comment

 
Top