} });
 


Kauli hiyo ameitoa hii leo Januari 25, 2021, alipotembelea kujionea hali ya uenzi wa stendi hiyo, ambapo pia ameuagiza uongozi wa mkoa wa Dar es Salaam, kuhakikisha stendi hiyo inaanza kutumika muda wowote kuanzia sasa.

Mbali na hayo Waziri Jafo, pia amemuelekeza mkandarasi anayejenga eneo la maegesho ya magari madogo, kuhakikisha anakamilisha kazi ndani ya wiki mbili kuanzia leo huku akitaka taa zifungwe ndani ya wiki moja kuanzia leo, huku akiupongeza uongozi wa mkoa kwa usimamizi mzuri uliosaidia stendi hiyo kukamilika kwa ubora unaotakiwa.

Kwa upande wake Mkurugenzi wa jiji la Dar es Salaam Spora Liana, amesema kazi zinazoendelea kwa sasa ni ufungaji wa viyoyozi, lifti, ufungaji wa taa na vifaa vya matangazo, uunganishwaji wa maji kwenye vyoo na miundombinu mingine ambayo nayo ipo hatua ya mwisho kukamilika.

soma habari kila siku kazi yetu ni kuhakikisha unapata unachotaka +255 769 305 957 #NURU YA KRISTO INAKUANGAZIA

Facebook Blogger Plugin by TeachMaker

Post a Comment

 
Top