
Jeshi la Ethiopia limetangaza kuwa limemuua waziri wa zamani wa mambo ya nje Seyoum
Mesn, mmoja wa wanachama waanzilishi wa chama Tigray People’s Liberation Front (TPLF).
Bw. Seyum alihudumu kama waziri wa mambo ya nje wa toka mwaka 1991 hadi 2010, aliuawa
pamoja na wanachama wengine wa ngazi ya juu TPLF kaskazini mwa jimbo la Tigray.
Facebook Blogger Plugin by TeachMaker
Post a Comment