} });
 

 

Katibu Mkuu wa Umoja wa Mataifa (UN) Antonio Guterres, amesema sio sahihi suala la chanjo dhidi ya Ugonjwa wa Covid19  kuchukuliwa kitaifa.


Katika ujumbe wake aliouandika katika ukurasa wake wa Twitter Guterres amesema, hakuna nchi itakuwa salama dhidi ya Virusi vya Corona hadi nchi zote zitakapokuwa salama.

Kauli hii ya Guterres inakuja baada ya nchi kadhaa zikiwemo Marekani, Uingereza na Urusi kuidhinisha chanjo za Pfizer/BioNTech, Moderna na Sputnik V ili kupambana na mlipuko.soma habari kila siku kazi yetu ni kuhakikisha unapata unachotaka +255 769 305 957 #NURU YA KRISTO INAKUANGAZIA

Facebook Blogger Plugin by TeachMaker

Post a Comment

 
Top