} });
 

 

Meneja wa majogoo wa Uingereza Liverpool, Jurgen Klopp ametoa malalamiko kwa uamuzi unaofanywa katika michezo ya Liverpool na kudai kuwa Manchester United wamepewa penati nyingi katika misimu miwili kuliko klabu ya Liverpool ndani ya miaka mitano.

Ameyasema hayo akiongea na waandishi wa habari baada ya kupoteza mchezo dhidi ya Southamptom  1-0 uliopigwa jana katika kiwanja cha St.Mary’s Stadium,Hampshire.

“Ilikuwa penati nilimwambia muamzi tuangalie, akasema ashaangalia na hakuna penati, hatuwezi kubadili hii, naskia kwa sasa Manchester United amepewa penati nyingi kwa miaka miwili zaidi ya liverpool ndani ya miaka mitano na nusu” Klopp

“Sina hakika kama ni makosa yangu na jinsi gani hii inatokea. lakini sinashaka na kiwango cha timu.” Klopp

Liverpool inashikilia nafasi ya kwanza akiwa na alama 33, michezo 17 ikiwa ni alama sawa na Man U ambao wana mchezo mmoja mkononi.

soma habari kila siku kazi yetu ni kuhakikisha unapata unachotaka +255 769 305 957 #NURU YA KRISTO INAKUANGAZIA

Facebook Blogger Plugin by TeachMaker

Post a Comment

 
Top