} });
 

 

Uongozi wa Klabu ya Simba umetangaza rasmi kuachana na kocha wake mkuu, Sven Vandenbroeck kwa makubaliano ya pande mbili.


Nafasi ya Sven itakaimiwa kwa muda na kocha msaidizi wa Simba, Seleman Matola mpaka atakapotangazwa kocha mwingine.
soma habari kila siku kazi yetu ni kuhakikisha unapata unachotaka +255 769 305 957 #NURU YA KRISTO INAKUANGAZIA

Facebook Blogger Plugin by TeachMaker

Post a Comment

 
Top