} });
 

 

RAIS wa Msumbiji, Filipe Nyusi, amewasili nchini leo Januari 11, kwa ajili ya ziara yake ya kikazi ya siku mbili.
Rais Nyusi, amepokelewa na mwenyewe wake Rais wa Tanzania, Dkt John Magufuli.
Baada ya kuwasili, Rais Nyusi na mwenyeji wake Magufuli, wameweka jiwe la msingi katika hospitali ya kanda ya rufaa chato.

soma habari kila siku kazi yetu ni kuhakikisha unapata unachotaka +255 769 305 957 #NURU YA KRISTO INAKUANGAZIA

Facebook Blogger Plugin by TeachMaker

Post a Comment

 
Top