} });
 


MELANIA TRUMP mMmewe Donald Trump jana jioni waliondoka rasmi Ikulu ya Marekani na kuelekea kwenye makazi yao mjini Florida. Sasa Melania anaweza kukunja kibindoni kitita cha TSh. Bilioni 2.3 kama atakubali ofa ya kufanya mahojiano maalum baada tu ya kutoka Ikulu.

 

Mwanasheria maarufu nchini Marekani Rebecca Zung ameweka mezani kitita cha ($1 million) kwa ajili ya kukaa na Melania Trump kwenye Podcast yake iitwayo ‘Negotiate Your Best Life’, ofa ambayo itamtaka Melania kukaa kwenye mahojiano hayo kwa saa moja pekee na kujadili masuala mbali mbali ya maisha.

soma habari kila siku kazi yetu ni kuhakikisha unapata unachotaka +255 769 305 957 #NURU YA KRISTO INAKUANGAZIA

Facebook Blogger Plugin by TeachMaker

Post a Comment

 
Top