} });
 

 

Moja ya stori ya kuifahamu leo ni kwamba Staa wa muziki kutokea Nigeria ambae alikuwa akiunda kundi la P. Square (Paul Okoye) amepima na kukutwa kuwa na virusi vya corona.

Paul amethibitisha kwenye ukurasa wake Instagram Jumanne January 5,2020 kwa siku 10 sasa amekuwa akipambana na ugonjwa wa corona.

“Itakuwa vizuri kuwa makini huko nje ukipenda niamini, ukiwa hutaki usiniamani subiria na kujionea mwenyewe MUNGU tusaidie” Paul

soma habari kila siku kazi yetu ni kuhakikisha unapata unachotaka +255 769 305 957 #NURU YA KRISTO INAKUANGAZIA

Facebook Blogger Plugin by TeachMaker

Post a Comment

 
Top