} });
 

 

TUKIO la Marekani la wafuasi wa Rais Trump kuvamia Bunge limezua sura mpya baada ya baadhi ya Wawakilishi kusema wana ushahidi kuwa polisi walisaidiana na wavamizi.

Japo wabunge wanawasifu polisi kwa kutuliza ghasia, kuna ushahidi wa video ukionyesha kuwa kuna kundi dogo la polisi walioshirikiana na wavamizi.


Capitol Hill ni moja  ya majengo yenye ulinzi mkali, hivyo imewashangaza wengi wavamizi kupita kirahisi ndani ya muda mfupi na kufanya vurugu.

soma habari kila siku kazi yetu ni kuhakikisha unapata unachotaka +255 769 305 957 #NURU YA KRISTO INAKUANGAZIA

Facebook Blogger Plugin by TeachMaker

Post a Comment

 
Top