} });
 


Baada ya Mitandao ya Twitter na Facebook kutangaza kufungia account za Rais Donald Trump, Mtandao wa Youtube pia umetangaza kuifungia Youtube ya Donald Trump kwa siku saba baada ya moja ya video zake kukiuka sera za Youtube.

Kwa hizi siku 7  Trump hatokuwa na uwezo wa ku-upload chochote kupitia Youtube pia wamezifunga comments hivyo hakuna anaeweza ku-comment kwenye youtube hiyo yenye subscribers milioni 2.78.

soma habari kila siku kazi yetu ni kuhakikisha unapata unachotaka +255 769 305 957 #NURU YA KRISTO INAKUANGAZIA

Facebook Blogger Plugin by TeachMaker

Post a Comment

 
Top