
Rais John Magufuli ametengua uteuzi wa Mkurugenzi Mkuu wa Tume ya Taifa ya Matumizi ya Ardhi, Dkt. Nindi, taarifa ilioyotolewa na Katibu Mkuu Kiongozi Balozi John Kijazi, imeeleza kuwa rais Magufuli ametengua uteuzi huo kuanzia leo Januari 17 nafasi hiyo itajazwa baadae.
Facebook Blogger Plugin by TeachMaker
Post a Comment