} });
 

 

MSANII wa Bongo Fleva, Nurdin Bilal Ali maarufu kwa jina la Shetta, amethibitisha kuwa kuachana rasmi na mke wake “Mama Qaillah” ambapo tayari ameshampa talaka tatu.


Shetta ameeleza ameamua kuachana na mke wake kwa sababu zilizopo nje ya uwezo wake huku akikanusha tetesi za kumfumania na rafiki yake wa karibu na kueleza kuwa kilichosababisha kuachana naye ni sababu za ndani zaidi.

 

Mkali huyo wa ngoma ya Shikolobo ametoa tahadhari kuwa kwa mtu yeyote atakayemgusa binti yake Qaillah yupo tayari kwa lolote ilimradi binti zake waishi kwa usalama na amani.

 

Comments za MashabikiMitandaoni:

Vicent2847Sasa itakuaj wanaume sisi unamuach mdada pisi kali kama hyu jamani.

_benson_hk: Ona hata kichwa chake kilivyo kaa 👀 tulijua hawezi kudumu na yule mrembo 👀

ramso_dcQmmk: Hao mademu wakali mnaowaacha si mnipe mimi nivimbe nao kitaa.

soma habari kila siku kazi yetu ni kuhakikisha unapata unachotaka +255 769 305 957 #NURU YA KRISTO INAKUANGAZIA

Facebook Blogger Plugin by TeachMaker

Post a Comment

 
Top