} });
 


Mkuu wa Wilaya ya Arumeru, MheJerry Muro anasikitika kutangaza kifo cha mama yake Mzazi Mama ANKUNDA MURO, kilichotokea katika Hospital ya Taifa ya Muhimbili usiku saa 6 Tarehe 24/01/2021.

 

Mipango ya mazishi inafanywa Nyumbani Ubungo Dar es salaam na Machame Lyamungo kati Hai. Habari ziwafikie ndugu wote, jamaa na marafiki popote pale walipo.

soma habari kila siku kazi yetu ni kuhakikisha unapata unachotaka +255 769 305 957 #NURU YA KRISTO INAKUANGAZIA

Facebook Blogger Plugin by TeachMaker

Post a Comment

 
Top