
Brigedia Jenerali Mstaafu, Emmanuel Maganga ambaye alikuwa Mkuu wa Mkoa wa Kigoma amefariki Dunia jana Januari 21, 2021 saa tatu usiku Mkoani Tabora
“Maganga amefariki kwenye Hospitali ya Milambo, hakulazwa, alikuwa na ujenzi kwenye site yake akaja pale leo usiku amezidiwa, ni presha na sukari ilikuwa imepanda halafu moyo ukafeli, mwili uko mochwari wakati tukiendelea na taratibu nyingine”-RC Tabora Dr. Sengati
Brig.Jen Mstaafu Emmanuel Maganga ambaye aliwahi kuwa Mkuu wa Mkoa wa Kigoma kabla ya kustaafu na nafasi yake kuchukuliwa na Andengenye,.
Facebook Blogger Plugin by TeachMaker
Post a Comment