} });
 

 

David Makerege (80) Mkazi wa Goba Dar es salaam amefariki Dunia akiwa kwenye Hotel ya Mbezi Garden (chumba No.22), January 16,2021, Polisi Kinondoni wamethibitisha.

 

“Kwenye chumba hicho tulimkuta pia Mwanamke mmoja aliyefahamika kwa jina la Neema Kibaya (33) ambaye ameeleza kuwa Marehemu alikuwa ni Mpenzi wake.

 

“Uchunguzi wa awali umeonesha mwili hauna jeraha lolote, baadaye mwili ulipelekwa Hospitali ya Mwananyamala kwa ajili ya uchunguzi zaidi na hifadhi,” limesema Jeshi la Polisi.


soma habari kila siku kazi yetu ni kuhakikisha unapata unachotaka +255 769 305 957 #NURU YA KRISTO INAKUANGAZIA

Facebook Blogger Plugin by TeachMaker

Post a Comment

 
Top