} });
 


Watoto watatu huko Kasulu na Uvinza Mkoani Kigoma wamefariki kwa ajali za moto zilizotokea kwenye maeneo mawili tofauti ambapo tukio la kwanza limetokea katika kijiji cha Nyarugusu Kasulu ambako Watoto wawili wa familia moja wamefariki huku Wazazi wao wakikimbia na kuitelekeza miili hiyo kwa kuhofia kukamatwa sababu ni Wakimbizi.

Tukio la pili limetokea Wilaani Uvinza usiku wa kuamkia leo ambapo Mtoto Rose Kesi wa kijiji cha mpeta tarafa ya Nguruka amefariki Dunia kwa ajali ya moto pia, RPC Kigoma ACP James Manyama amesema uchunguzi unaendelea ili kuwakamata Wazazi wa Watoto hao waliokimbia.

soma habari kila siku kazi yetu ni kuhakikisha unapata unachotaka +255 769 305 957 #NURU YA KRISTO INAKUANGAZIA

Facebook Blogger Plugin by TeachMaker

Post a Comment

 
Top