
Gavana Mstaafu wa Benki Kuu ya Tanzania (BoT), Prof. Benno Ndulu amefariki dunia asubuhi ya leo Februari 22, 2021 katika Hospitali ya Kairuki jijini Dar alipokuwa akipatiwa matibabu. Prof. Ndulu alihudumu ugavana wa BoT kuanzia mwaka mwaka 2008 hadi 2018.
Kabla ya wadhifa huo, Ndulu, alikuwa Profesa wa Chuo Kikuu cha Dar es Salaam, pia amewahi kufanya kazi benki ya Dunia.
Facebook Blogger Plugin by TeachMaker
Post a Comment