} });
 

 

WAZIRI wa Ardhi, William Lukuvi, leo Februari 16, amefika Coco Beach na kukuta ujenzi wa kiwanja ukiendelea kinyume na sheria na kuamua kuvunja ujenzi huo uliokuwa umeanza.
Waziri Lukuvi amewapa onyo viongozi wa Kinondoni (Meya na Mkuu wa Wilaya) kutokuwa na tamaa na sehemu za wazi ambazo ni mali za umma.

soma habari kila siku kazi yetu ni kuhakikisha unapata unachotaka +255 769 305 957 #NURU YA KRISTO INAKUANGAZIA

Facebook Blogger Plugin by TeachMaker

Post a Comment

 
Top