} });
 


Shirikisho la soka duniani ‘FIFA’ limeifungia klabu ya Yanga kutokufanya usajili kwa misimu mitatu mfululizo kufuatia sakata la aliyekuwa mchezaji wao, Amissi Tambwe. 

 

FIFA aimeifungia klabu hiyo kutokana na kutomkulipa mshambuliaji wao huyo wa zamani raia wa Burundi malimbikizo ya pesa zake za usajili pamoja na mishahara. Lakini, Katika hukumu hiyo ya FIFA, Yanga wamepewa nafasi ya kufanya maamuzi. 

 

Yanga wameelekezwa kumlipa Tambwe pesa zote na endapo itashindikana basi kifungo cha usajili kitawekwa kwa misimu mitatu na kufutiwa alama zote na kushushwa mpaka ligi daraja la kwanza.

soma habari kila siku kazi yetu ni kuhakikisha unapata unachotaka +255 769 305 957 #NURU YA KRISTO INAKUANGAZIA

Facebook Blogger Plugin by TeachMaker

Post a Comment

 
Top