} });
 

 

Rais wa Jamhuri ya muungano wa Tanzania Mhe. Dkt. John Pombe Magufuli anazindua Daraja Jipya la Ubungo - KIjazi Ubungo Interchange na baade atazindua kituo kikuu cha mabasi yaendayo mikoani na nchi jirani kilichoitwa jinalake . Magufuli Bus stand Kilichojengwa eneo la Mbezi Luis Dar es salaam.

soma habari kila siku kazi yetu ni kuhakikisha unapata unachotaka +255 769 305 957 #NURU YA KRISTO INAKUANGAZIA

Facebook Blogger Plugin by TeachMaker

Post a Comment

 
Top