} });
 


Gavana wa zamani wa Nairobi Mike Sonko amekanusha mashitaka 12 dhidi yake, ikiwa ni pamoja na ghasia na wizi wa kutumia ghasia, wakati wa kesi yake iliyofanyika katika mahakama ya sheria ya Kiambu, viungani mwa mji mkuu Nairobi.

  

Hivi karibuni Bw Sonko alidai kwamba yeye na katibu mkuu wa wizara ya mambo ya ndani Karanja Kibicho alihusika katika kupanga ghasia zilizoshuhudiwa wakati wa mzozo wa matokeo ya uchaguzi.

 

Vyombo vya habari nchini Kenya vimekua vikiripoti juu ya kesi ya Bw Sonko kwenye mitandao yake ya kijamii kiwa ni pamoja na Twitter.

soma habari kila siku kazi yetu ni kuhakikisha unapata unachotaka +255 769 305 957 #NURU YA KRISTO INAKUANGAZIA

Facebook Blogger Plugin by TeachMaker

Post a Comment

 
Top