} });
 

BAADA ya miaka sita na miezi sita ya ndoa, Kim Kardashian (40) hatimaye anadai talaka kutoka kwa mwanamuziki wa HipHop, Kanye West (43). Wawili hao walianza mahusiano 2012 na kufunga ndoa 2014.

 

Kim na Kanye waliopewa jina la ‘Kimye’ wamefanikiwa kupata watoto wanne: North West (7), Saint West (5), Chicago West (3) na Psalm West (miezi 21).

 

Hatua hiyo inaashiria mwisho wa moja kati ya mahusiano maarufu zaidi katika karne ya 21. Hii ilikuwa ndoa ya kwanza kwa Kanye West na ya tatu kwa Kim.

soma habari kila siku kazi yetu ni kuhakikisha unapata unachotaka +255 769 305 957 #NURU YA KRISTO INAKUANGAZIA

Facebook Blogger Plugin by TeachMaker

Post a Comment

 
Top