} });
 


Mhe. Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Dkt. John Pombe Magufuli akimuapisha Jaji mteule Zepharine Nyalugenda Galeba kuwa Jaji wa Mahakama ya Rufani, Jaji Galeba aliteuliwa kushika nyadhifa hiyo baada ya kuonyesha uzalendo kwa kuwa Jaji wa kwanza kuweza kutoa hukumu kwa lugha ya kiswahili.

soma habari kila siku kazi yetu ni kuhakikisha unapata unachotaka +255 769 305 957 #NURU YA KRISTO INAKUANGAZIA

Facebook Blogger Plugin by TeachMaker

Post a Comment

 
Top