} });
 

 

Makamu Mwenyekiti wa Yanga SC Fredrick Mwakalebela ameeleza kuwa wamempa demand note ya siku 14 Afisa habari wa Simba SC Haji Manara na kumtaka aombe radhi kwa kuichafua brand ya Yanga.

“Tumetumia Juhudi Kubwa sana kutengeneza Brand ya Young Africa sio kazi ndogo, hapa katikati msemaji wa Simba SC Haji Manara amekuwa akichezea Brand kubwa ya Yanga”

“Sisi kama viongozi tumechukua hatua za kisheria tumempelekea demand note kupitia wanasheria wetu na kumpa siku 14 aombe msamaha na mwisho wa siku kama itashindikana tutampeleka Mahakamani” Mwakalebela

soma habari kila siku kazi yetu ni kuhakikisha unapata unachotaka +255 769 305 957 #NURU YA KRISTO INAKUANGAZIA

Facebook Blogger Plugin by TeachMaker

Post a Comment

 
Top