} });
 


Kufuatia kifo cha Makamu wa kwanza wa Rais wa Zanzibar Maalim Seif Sharif Hamad, Rais wa Zanzibar, Dkt Hussein Mwinyi ametangaza siku saba za maombolezo ambapo bendera zitapepea nusu mlingoti na Rais  wa Jamhuri ya Muungano Tanzania Dk, John Pombe Magufuli ametangaza siku tatu za maombelezo ya kitaifa kuanzia leo bendera zitapepea nusu mlingoti.

Maalim Seif Sharif Hamad amefariki jana Jumatano saa 5:00 asubuhi katika Hospitali ya Taifa ya Muhimbili, Dar es Salaam.

soma habari kila siku kazi yetu ni kuhakikisha unapata unachotaka +255 769 305 957 #NURU YA KRISTO INAKUANGAZIA

Facebook Blogger Plugin by TeachMaker

Post a Comment

 
Top