} });
 

 

Taasisi ya Kupambana na Kuzuia Rushwa (TAKUKURU), mkoani Manyara imemfikisha mahakamani, aliyekuwa mwalimu wa shule ya msingi Olkitikiti Wilayani Kiteto mkoani Manyara, Oscar Waluye kwa udanganyifu wa mtihani wa darasa la saba.

Taarifa ya TAKUKURU imeeleza kuwa Mwalimu Waluye, ambaye tayari ameshafukuzwa kazi, anatuhumiwa kufanya udanganyifu kwenye mitihani ya darasa la saba, Oktoba 2020.

soma habari kila siku kazi yetu ni kuhakikisha unapata unachotaka +255 769 305 957 #NURU YA KRISTO INAKUANGAZIA

Facebook Blogger Plugin by TeachMaker

Post a Comment

 
Top