} });
 

 

RAIS John Magufuli ametengua uteuzi wa Mkurugenzi wa Manispaa ya Kinondoni, mkoani Dar es Salaam, Aron Titus Kagurumjuli. Uteuzi wake umetenguliwa Februari 16, 2021. Mkurugenzi mwingine atateuliwa baadaye.

 

Uamuzi wa Rais Magufuli umekuja ikiwa ni saa chache baada ya Waziri wa Ardhi, William Lukuvi, akuagiza kusimamishwa na kuvunjwa sehemu ambayo imeshajengwa Coco Beach, Dar es Salaam,  na kuwataka Meya na Mkuu wa Wilaya wa Kinondoni kutokuwa na tamaa ya maeneo ya umma.INUKA UANGAZE CHOIR - WAZAZI WETU (Official Video)

soma habari kila siku kazi yetu ni kuhakikisha unapata unachotaka +255 769 305 957 #NURU YA KRISTO INAKUANGAZIA

Facebook Blogger Plugin by TeachMaker

Post a Comment

 
Top