} });
 

 

Jeshi la polisi mkoani Arusha limewakama mtandao wa watuhumiwa watatu wa mauaji ya matukio ya wanawake mkoani Arusha ambayo yamekuwa yakifanyika mara kwa mara.

Akizungumza na waandishi wa Kamanda wa polisi mkoani Arusha,Salum Hamduni amewataja watuhumiwa hao kuwa ni Mbise Sanare Lekumo(30) mkazi wa Olasiti, Lembeka Olomorojo(65) mkazi wa Osunyai na mganga wa kienyeji Bashiri Msuya (64)mkazi wa mtaa wa Kirika B kata ya Osunyai jijini Arusha.

soma habari kila siku kazi yetu ni kuhakikisha unapata unachotaka +255 769 305 957 #NURU YA KRISTO INAKUANGAZIA

Facebook Blogger Plugin by TeachMaker

Post a Comment

 
Top